Uncategorized

NYAMA YA BATA…..NA T BONAZ!!

By  | 
 Unataka kula kitu tofauti?katika hali ya kawaida tumezowea kula nyama ya kuku lakini vipi nyama ya bata?umewahi kumla bata?unatamani kumla?au unamla kama kawa hapo home kwako?
Hizi picha huyu ni bata ambae anatengenezwa na rafiki yangu anaitwa George.Mapishi ya bata huyu yanaitwa Slow Roast Duck.
Kama unataka kula na kumfaidi bata huyu unatengenezewa na kuletewa hapo nyumbani kwako bata mmoja Tsh 30,000 tu.
Kama umependa piga simu namba 0684 609944 na 0718 609944.
Bata ni wakwake mwenyewe maana anawafuga hivyo hapo utakuwa ukilipia bata pamoja na mapishi yake na kukuletea duuuh bei nafuu mno.
 Ukishamfaudu bata wako utanipa feedback ilikuwaje!!  

20 Comments

 1. Anonymous

  April 4, 2013 at 3:42 pm

  mchinjaji wa huyo bata ni mkiristo au ….. ujanidanganya bado.

 2. Anonymous

  April 4, 2013 at 3:43 pm

  mchinjaji wa huyo bata ni mkiristo au ….. ujanidanganya bado.

  • Anonymous

   April 5, 2013 at 7:40 am

   Ishhhhh hata kabla mtu hajajibu ushaona kudanganywa,why do u think so neg?? mmmhhh

 3. MOJAONE

  April 5, 2013 at 6:20 am

  Bei ni kubwa siiwezi huo ni mshahara wa siku 10 za kazi yangu, ila siku ukiaorder bata huyo nialike namba yangu ya cm si unayo.

 4. Anonymous

  April 5, 2013 at 6:50 am

  Mafuta mafuta mbona, wa kubanika ndio pouwa

  • dinamariesblog

   April 5, 2013 at 7:16 am

   hayo ni mafuta ya bata mwenyewe hapikwi na mafuta kabisa ngoja nitawawekea na namna ya kumtengeneza!

 5. Anonymous

  April 5, 2013 at 6:58 am

  asante dina kwa mapishi ila mimi mwenzenu bata amenishinda kula sijui kwanini kila nikijitahidi kumla nashindwa naishia kutapika labda nina matatizo

 6. Anonymous

  April 5, 2013 at 9:41 am

  umenitamanisha .anapatikana wap huyu mtu?

 7. Mama 2 (Mrs M)

  April 5, 2013 at 10:42 am

  Ahh Dina acha! nyama ya Bata usiseme, nitamu balaa, nilimla Pasaka, yaani hata kuku sikumtamani. Kwani ni lazima aniletee nyumbani au ana sehemu ambayo tunaweza kukaa nikakualika tujichane kama nawe ni mlaji. Yaani kama vile sehemu za kiti moto ambapo unaweza kupata na kinywaji. Nijibu tafadhali, umenitamanisha mno! umenikumbusha PASAKAAAAA!!!

 8. George Lulabuka

  April 5, 2013 at 11:06 am

  Corrections::
  Bata JIKE ni 33K, Bata DUME. 35K. Jike wanalula watu hadi watatu, dume wanakula hadi watu watano.
  The post had typing error.
  THANK YOU ALL

  BY GEORGE LULABUKA (co-CEO and FOUNDER of T.Bonaz)

 9. atug

  April 5, 2013 at 11:27 am

  thanx Dina, i wil definately order na nlivyo na uchu na nyama ya bata…duuuh na anaonekana mtaaaam!!!!lol…mda wowote naeza kuorder?

 10. Anonymous

  April 5, 2013 at 12:10 pm

  Hivi Dina tunaenda wapi? nashangaa kwanini mtu inakuwaje anauliza nani kachinja mbona huu UDINI utatumaliza. Nina hofu sana.

 11. Anonymous

  April 5, 2013 at 7:29 pm

  We unayeuliza nani mchinjaji unachekesha. Nyama zote unazonunuaga unamjua mchinjaji?

 12. Anonymous

  April 5, 2013 at 7:32 pm

  Firigisi unazokulaga unamjuaga mchinjaji?

 13. Anonymous

  April 5, 2013 at 7:32 pm

  We unayeuliza nani mchinjaji unachekesha. Nyama zote unazonunuaga unamjua mchinjaji?

 14. Anonymous

  April 7, 2013 at 11:19 am

  Nimefurahi kusikia kuwa utatuwekea mapishi yake! Nasubiria kwa hamu utuweeke hayo mapishi tafadhali usichelewe kuweka dina kwan wengine tuko mikoani! Ahsante

 15. Anonymous

  April 8, 2013 at 6:10 am

  Itabidi nimuonje maana sijawahi mla ila hapo kanivutia

 16. Anonymous

  April 10, 2013 at 4:29 pm

  Dina tuwekee basi hilo pishi? Pole na majukumu lkn…

 17. Anonymous

  June 6, 2013 at 12:42 pm

  Oh! Dina jaman tuwekee hilo pish na siye tupike,by mwahija kongola

 18. Anonymous

  October 5, 2013 at 11:13 pm

  dina tuelekeze sio unaweka picha tu kututamanisha tufundishe

Leave a Reply