Uncategorized

TANZANIA WOMAN OF ACHIVEMENT AWARDS_WOMAN OF THE YEAR!!

By  | 
       
   “Unaposhinda usiongee na unaposhindwa ongea kidogo”
Namshukuru Mungu na wote waliotambua nafasi yangu,wazazi wangu,clouds fm na uongozi wote,team leo tena na wanafamilia ya leo tena…nawapenda!
Tuzo zilifanyika alhamisi ya wiki iliyopita 29 march 2013 Serena hotel mida ya saa mbili asubuhi.
 Kuna wanawake wengi walishinda tuzo mbalimbali nitawasiliana na TWAA ili niwaweke hapa wao na hadithi zao japo kidogo tuwafahamu.Ile siku ya tuzo nilikutana na alot of amaizing women wanaofanya mambo mengi mazuri na makubwa katika sekta mbali mbali hapa nchini.
TUZO YA MWANAMKE WA MWAKA
Iliangalia mwanamke aliyefanya vitu kwa kipindi cha miaka mitatu vilivyogusa na kubadilisha maisha ya watu.Iwe kusaidia na kuelimisha jamiii ndio ikaja kwangu. 
Asante Shamim Mwasha wa 8020fashions blog kwa picha maana sikuweza hata kupiga picha.
http://8020fashions.blogspot.com/2013/03/tanzania-women-of-achievement-awards.html#more

54 Comments

 1. Anonymous

  April 2, 2013 at 12:58 pm

  Hongera sn dada D!thnx god wametambua mchango wk ktk jamii coz u deserve t mumy,umeleta mapinduz sn ktk kuhamasisha mambo mbalimbal ktk tz ht wengin wakafikia hatua y kukop & pest ktk baadh y vipind vya redio!keep t up mumy u rock gal

 2. Cymah Wandelt

  April 2, 2013 at 1:37 pm

  My dream is to be like u, Mungu ashukuriwe sana kwa hipi, Muda wote nililitambua hili Na Asante kwa Mungu wakuu nao wamelitambua pia. So proud of u mama, endelea hivyo nazaidi.

 3. Anonymous

  April 2, 2013 at 1:45 pm

  mungu ni mwema na hakika amepokea mchango wako katika jamii songa mbele usirudi nyuma hakika utashinda siku zote mtumainie yeye akutiaye nguvu hongera dada [grace mpanduka]

 4. Anonymous

  April 2, 2013 at 1:50 pm

  Hongera mdada! kiukweli umestahili ninachokupendea huna makuu kama wadada wa mjini tunaowaonaga. uko simple sana. Naomba kwa hii tuzo ikufanye uweke bidii zaidi kwenye shughuli unazozifanya ili mchango wako uwafikie wengi zaidi katika jamii.
  hongera sana

 5. Anonymous

  April 2, 2013 at 2:08 pm

  HONGERA SN SN SN SN. UMEPENDEZA SN TU KI2 KIMOJA NISAMEHE LAKINI ZILE NYWELE ZAKO KM DREADS DINA BWANA HPN NA NDOMANA HATA ULIVOENDA KWENYE HII TUZO UKAZIFUNIKA KTK HALI YA KAWAIDA ZISINGEKUTOA KBS NA ILO VAZI. UNAJUA DINA SIO KWASABABU YA TUZO TU HPN WE NI M2 FLANI IVI SO RESPECTFUL ALTHOUGH AS A HUMAN BEING UNA MAMBO YAKO FLANI HATUWEZI KUWA PERFECT ILA AM TELLING YOU MACHONI MWA WATU WENGI U ARE SO RESPACTFUL. CHA MWISHO NEXT TYM UKIPIGA OUTFIT KM IYO VAA VIATU VYA KUFUNIKA OTHEWISE ULITOKA BIEN YANI SUPERB

 6. Mama 2 (Mrs M)

  April 2, 2013 at 2:23 pm

  Ulipendeza!!! Hiyo nywele imetuliaaaa!

 7. Anonymous

  April 2, 2013 at 3:31 pm

  Hongera sana my lovely sister Dina Marios naomba Mungu akupe maisha marefu uendelee kuwa mbunifu zaidi ya hapa ulipo sasa…

 8. Anonymous

  April 2, 2013 at 3:33 pm

  Hongera sana my lovely sister Dina Mungu akupe maisha marefu uwe na maendeleo zaidi haya ulionayo…Luv uuuuuu so muuuuch…..

 9. Anonymous

  April 2, 2013 at 3:47 pm

  Congratulations ma dear! Nilifurahi sana nilipickia umepata tuzo coz unastahili,keep it up baby na Mwenyenzi Mungu azidi kukubariki.

 10. Anonymous

  April 2, 2013 at 4:28 pm

  congrats mum!

 11. Anonymous

  April 2, 2013 at 4:46 pm

  Habari,
  Sijawahi kucomment chochote kwenye blog yako but leo lazima niseme, nisiposema nitakuwa kama natenda dhambi roho itakavyoniuma.
  Hongera sana Dina, kiukweli ur my role model, ur real ndo kikubwa ninachokupendea, huishi maisha ya kuigiza and mbunifu, keep it up my, tuko nyuma yako.
  I love you so much.
  Sure Mrema

 12. emma kahere

  April 2, 2013 at 6:38 pm

  Hongera sana mpendwa wangu,kiukweli ulistahili,mwanamakuka,dada bora wakazi,kitchen part gala.umebadilisha maisha ya wengi.mi nakuombea ufike mbali zaid yahapo ulipo sasa.barikiwa sana

 13. Anonymous

  April 2, 2013 at 6:48 pm

  hongera dina!u deserve t,kip t up,lv u

 14. Anonymous

  April 2, 2013 at 6:54 pm

  Dina hongera sana ila mi nna swali moja.. Inakuaje wewe upate hiyo tunzo wakati hutumii malighafi zako binafsi unatumia za shirika ufanyialo kazii plz dadavua.. Ila sijauliza kwa ubaya it is a matter of understanding.
  once again hongera nilisikia ulivyoelezea kwenye Leo tena nilifurahi kusikia uhusia Wako.

  • Anonymous

   April 5, 2013 at 7:49 pm

   Kwanini humjibu huyu???

  • NURU RAMSI

   April 22, 2013 at 12:20 pm

   Mi naona ni jambo zuri tu,kuna watu wana hizo nafasi lakini hawana mchango wowte pamoja na kua wamewezeshwa malighafi za shirika.unajua ile tu kujitoa kwa kupitia shirika na akafanya mambo mazuri ni jambo zuri na la mfano.mm nampongeza sana,wapo watu wengi kama yeye but they do not make any different!

  • NURU RAMSI

   April 22, 2013 at 12:25 pm

   Mi naona ni vizuri tu yeye kupewa hiyo tuzo kwani kuna watu wana nafasi kama yeye lakini hawana mchango pamoja na kutumia rasilmali za shirika,unajua ile tu kujitoa kwake na kuweza ku make different to people ni jambo la kuigwa.Hongera sana Dina Marios tunategemea kupata mambo mengi mazuri zaidi,Mungu akupe afya tele,azidi kukurahishia magumu.

 15. victor toke

  April 3, 2013 at 4:44 am

  ongera sna dada! Bt siste blog yakko mbona inakaa bila story yoyote mpya??? Zamani ulikuwa una update bhana!! Au upo busy xn na leo tena??

 16. Anonymous

  April 3, 2013 at 5:26 am

  Hureeeeeiii, Yes this is just a begginning, you have the world ahead of you…! Be positive even when people try to show you the negatives and from all our strengths and weaknesses come a remarkable and unique hero.

  Congrats……!

 17. emu-three

  April 3, 2013 at 5:41 am

  Hongera mpendwa, unastahili hiyo tunzo kwa kazi yako nzuri, `diary yangu' inakupa mkono wa pongezi

 18. Anonymous

  April 3, 2013 at 6:03 am

  U deserve it dina

 19. Anonymous

  April 3, 2013 at 6:33 am

  Hongera sana mammy, hata mimi nilikupigia kura kwa njinsi ninavyokupenda.

 20. Anonymous

  April 3, 2013 at 6:48 am

  Wasap Girl friend ,mmm nice job,am happy for you. don't stop there keep the spirit up and God will show you the way.
  cheers!!! between your natural hair looks greater than this!

 21. Anonymous

  April 3, 2013 at 8:21 am

  Hongera sana dina.kiukweli u deserve it, nakukubal mnoooo. Nam umegusa maisha yangu .nafurah kwa kuwa mchango wako umetambulika . Nakupenda sana.am ur true fan

 22. Anonymous

  April 3, 2013 at 8:22 am

  Hongera sana Dinnah, you deserve it.

 23. Anonymous

  April 3, 2013 at 8:31 am

  A lot of Congrats…

 24. Anonymous

  April 3, 2013 at 9:20 am

  Hongera sana dada dina, mungu akubariki uendelee na moyo huo huo wa kuzidi kutusaidia/kuelimisha jamii hasa wanawake !

 25. Anonymous

  April 3, 2013 at 9:22 am

  Hongera dada dina, mungu akubariki uwe na moyo huo huo wa kutusaidia/kuelimisha jamii hasa wanawake. Nakupenda !

 26. Anonymous

  April 3, 2013 at 9:52 am

  u deserve it madam,, go go go high girl…. hip hip horrrrrrrrrrrrrrraaaa

 27. Anonymous

  April 3, 2013 at 10:15 am

  congrats dinna. thanks god you change the hair style.

 28. MOJAONE

  April 3, 2013 at 10:48 am

  SHAMI NAKUONA UMEPOA TU, KAZI KWAKO.

 29. Anonymous

  April 3, 2013 at 11:33 am

  once nilikusikia ukiwa na B12 ukiwa unaelezea hiyo tuzo nilisikia furaha kubwa sana ndani cant express jinsi nilivyofurahi this is just the beggining mydear God is always there with you kila ufanyalo usiache kumtanguliza ataendelea kukuinua zaidi na ndoto zako zikatimia zaidi.
  you do deserve the award i love you cheers.
  rachel

 30. Anonymous

  April 3, 2013 at 4:49 pm

  Hongera sana. Mdada ..

 31. Anonymous

  April 3, 2013 at 5:23 pm

  Hongera Dina…….sky is the limit no matter what. Na utafika mbali sana we binti – mark my word!

 32. Anonymous

  April 3, 2013 at 6:30 pm

  Big up dina!! ulistahili kwa vyovyote vile kutoka moyoni nimefurahi sn, pia nakupenda.

 33. Anonymous

  April 4, 2013 at 7:07 am

  mmmh kwani hukuwa na nguo zingine hizo si ndizo ulivaa kwenye ile birthday ya ……………. au ulisifiwa umependeza ndio ukazivaa tena.

  • Anonymous

   April 4, 2013 at 11:49 am

   ss wewe,unaangalia nguo amerudia, inahusu nn, kwani hajapendeza.acha ujinga,mwenzio anasonga mbele wewe unakaa kuangalia nguo aliovaa kwny birthday.

  • Anonymous

   April 5, 2013 at 6:08 am

   halafu kumbe miguu yake ni mibayaaaaaaaaaa

  • Anonymous

   April 5, 2013 at 9:41 am

   unahusu nini jamani kurudia nguo msiwe na mawazo mgando kafanya lililoje usitafute pakukkosoa Go DINA Goooooooo!!!! vaa kile unachoona kinakufaa na uko comfortable

 34. Anonymous

  April 4, 2013 at 9:07 am

  Hongera sana Mummie, Nakupendaga bure tu yaani, uko simple ila una madini mengi kichwani, Mungu akuongoze ufikege mbali mwanaa……….by Pamela Mboma

 35. Anonymous

  April 4, 2013 at 9:19 am

  Mungu akuzidishie kila lililojema na Roho mtakatifu anguangazie maishani mwako.

 36. Anonymous

  April 4, 2013 at 12:34 pm

  mh! shoga we huwa huvai nguo zaidi ya mara moja?!

 37. Disminder orig baby

  April 4, 2013 at 6:16 pm

  Nguo? Jamani tuangalie mchango wakektk jamii!! Nguo hata Michelle anarudia ije kuwa yy? Duh dada ishi hivyohivyo ukiwa Dina achana na wavimba macho

 38. Anonymous

  April 5, 2013 at 6:15 pm

  Jamani kama mtu huna la kusema si ukae kimya? hivi habari za nguo hapo zimekujaje jamani? kweli ktk safari ya mamba na kenge wamo dina endelea hivyovyo tuko pamoja sa a achana na wachache tu wenye chuki binafsi wasiopenda maendeleo yako achana nao.

 39. Anonymous

  April 7, 2013 at 5:42 am

  wabongo mna kazi ndio maana mnafoji maisha kila kukicha, kurudia nguo ndio nini? angaliaeni vitu vya maana vilivyomuwezesha kupata tuzo, yeye hajaenda kwenye mashindano ya kuvaaa nguo, na utakuta aliyecomment ni mwanamke, ndio maana hatuendelei hata kidogo.

  • Anonymous

   April 10, 2013 at 6:55 am

   mimi siyo mwanamke ni mwanaume naitwa jonas kapande kwani jamani kuuliza swali ni vibaya???
   kila mtu ana uhuru wa kuuliza na kufanya lolote kama uhuru wa vyombo vya habari wanavyo vitaka.

 40. BAM

  April 7, 2013 at 4:51 pm

  Hongera sana Dina,Unastahili Kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii!

 41. Anonymous

  April 8, 2013 at 10:18 am

  Hongera sana!
  Umependeza, na vazi lako lilikiwa sahihi lkn ulipaswa kuvaa na viatu vya kufunika.
  Unapaswa kujifunza jinsi ya kujua nguo ipi ivaliwe na viatu vipi, mara nyingi unakosea viatu sahihi.
  Una viatu vingi, vizuri lkn hujui kipi uvae na nguo ipi.

  • Anonymous

   April 10, 2013 at 6:56 am

   well done!!!!! bora umemwambia ajijue.

 42. ELIUD SAMWEL

  April 11, 2013 at 8:21 am

  Mungu akuzidishie hekima na busara zaidi

 43. Anonymous

  April 16, 2013 at 7:51 am

  nimefurah sana ,wakati gea akitangaza kwenyw redio kuwa umeshinda tuzo ya mwaka hongera sana mummie…….

 44. Anonymous

  April 24, 2013 at 8:48 am

  msijitie wazimu jamani da dinna kashinda anahitaji pongezi zake ingekuwa wanaangalia kavaa nguo gani, karudia au ni mpya kamechisha au la, viatu ndivyo au siyo, wasingempa tuzo hiyo ya heshima lakini hata mkichonga dada akili kumkichwa imekaa vema Dinna we Bonge ya jembe sister tena siyo jembe la mkono ni power tiller 1st class, wasikutie shombo, umependeza tena sana na hongera sana kwa mafanikio yako.

 45. Anonymous

  April 24, 2013 at 11:55 am

  Hongera sana!!! your ma role model. Keep it up dogo!

 46. Anonymous

  April 25, 2013 at 7:04 am

  Hello Dinah hujambo sana. Many many congraulations dear. Kwa kweli unastaili saana saana. Naomba na sisi utuhamasishe au utukurupue maana tumejisahau kidogo au taarifa zinakuja zimechelewa.
  Wewe ni mbunifu na ni mtambuzi wa mambo mengi sana. Usirudi nyumba songa mbeleee. Keep moving high sis. Mie Tausi wa Ubungo Kibangu Dar

  Hongera saana

Leave a Reply