Uncategorized

TICKET ZA KITCHEN PARTY GALA KUANZA KUPATIKANA VITUONI!

By  | 
TICKET ZA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA KUPATIKANA VITUO VIFUATAVYO:
Shear illusion mliman city
Cassandra mikocheni kwa nyerere
Cassandra mjini jengo la golden jubilee floor ya kwanza
Born 2 shine Mwenge karibu na tra
Jackys cosmetics Kinondoni
Pata ticket yako mapema.
DRESS CODE
MODEL:IMACULATE,DRESSED BY Secky land of fashion. 
DUKA LIPO mikochen opposite shopperz plaza.
 
KWA  info.. 0754437722.
Model dressed by BEUTY POINT wapigie kwa namba zifuatazo 0713276486 wana vivazi rangi zote kijani,njano,,blue na nyeusi.

PHOTO BY:GAVIN
MAKE UP &HAIR:REHEMA
MODEL:ELLYGIVER wa www.http://ellygyverlatrend.blogspot.com/
MODEL DRESSED BY :
Secky land of fashion. 
DUKA LIPO mikochen opposite shopperz plaza.
 
KWA  info.. 0754437722.

Rangi za bendera ya Tanzania ndio dress code yetu.Kwa kushona au kuzimatch kama picha hizi zinavyooneaka.Tutakuwa na red carpet itakayosimamiwa na Zamaradi Mketema kwa ajili ya kuonekana clouds tv.Wahi mapema kuanzia saa tano asubuhi.

EVENT SPONSORED BY
MAXMALIPO,AMARULA,COCACOLA,BRILLIANT PRINTING,CASSANRDA NA CLOUDS FM!
KAULI MBIU 
MWANAMKE JIAMINI!

9 Comments

 1. emma kahere

  April 23, 2013 at 5:50 am

  Dina kuhusu kuchukua meza nzima inatakiwa 2nunue tiketi au 2napiga simu kwako ili tuwekewe?,naomba maelekezo pliz mamii

  • dinamariesblog

   April 25, 2013 at 12:26 pm

   POLE KWA KUCHELEWA KUJIBU MEZA HAKUNA MWAYA!WAHI KITUONI PATA TICKET YAKO!

 2. emma kahere

  April 23, 2013 at 5:51 am

  Dina kuhusu kuchukua meza nzima inatakiwa 2nunue tiketi au 2napiga simu kwako ili tuwekewe?,naomba maelekezo pliz mamii

 3. emma kahere

  April 23, 2013 at 5:51 am

  Dina kuhusu kuchukua meza nzima inatakiwa 2nunue tiketi au 2napiga simu kwako ili tuwekewe?,naomba maelekezo pliz mamii

 4. Anonymous

  April 23, 2013 at 8:37 am

  CLOUDS TV GANI HIYO NA ISHAA KUFA SI HAITAKI DIGITAL ITAONESHA VIPI WAKATI HATUIONI……

 5. Anonymous

  April 24, 2013 at 6:29 am

  Dina hongera kwa mambo mazuri, mimi ombi langu ni kwambaunaweza kunisaidia kupata gauni laukweli kama hiyo ya mwanzo?

  • dinamariesblog

   April 25, 2013 at 12:27 pm

   NIMEKUANDIKIA WAPI INAPATIKANA NA NAMBA ZAO ZA SIMU SOMA KWA MAKINI PLS!

 6. Anonymous

  April 26, 2013 at 9:05 am

  Nawatakien kila la kheri.nilitaman kuja lkn now maisha yangu yamenibadilikia .je ninaweza kupata cd au dvd ya cku hyo coz somo hilo linanihusu mnoooo.hasa ktk maisha yangu haya ya mpito niliyonayo.

 7. LIGHTINESS

  April 28, 2013 at 8:28 pm

  Da dina samahani mimi nipo kidogo nje ya mada nina shida na wewe pls naomba namba zako ni mimi lightiness wa mirerani

Leave a Reply