Uncategorized

WALIWAHI AU BADO NI WANAWAKE MARAISI DUNIANI

By  | 
 Ellen Johnson-Sirleaf raisi wa wa Liberia na raisi wa kwanza mwanamke Afrika.

Dilma Rousseff raisi wa  Brazil

 
Cristina Fernandez raisi wa Argentina
 Joyce Banda raisi wa Malawi

 Atifete Jahjaga raisi wa  Kosovo
 Geun-hye Park raisi wa South Korea
Gloria Mascapagal-Arroyo aliwahi kuwa raisi wa Philippines toka 2001 mpaka 2010.
 
Mary McAleese alikuwa raisi wa Ireland kutoka mwaka 1997 mpaka 2011.
Michelle Bachelet aliwahi kuwa raisi wa Chile mwaka 2006 mpaka 2010
Tarja Halonen aliwahi kuwa rais wa Finland mwaka 2000 mpaka mwaka 2012
Chandrika Kumaratunga alikuwa raisi wa Sri Lanka kutoka mwaka 1994 mpaka 2005.
Tutaendelea……………

11 Comments

 1. Suzanne

  April 12, 2013 at 9:36 am

  Watu na nyota zao hapana chezea

 2. Mama 2 (Mrs M)

  April 12, 2013 at 11:38 am

  Itabidi tujitahidi nasi Tanzania tupate Rais mwanamke katika uchaguzi ujao 2015. Wanawake Tunaweza!!!!

 3. Leipzig

  April 12, 2013 at 6:23 pm

  Bila shaka walistahili kushika nyadhifa za uraisi ukizingatia mifumo dume iliyopo sehemu nyingi za dunia.

 4. Anonymous

  April 13, 2013 at 2:10 pm

  TUNAWEZA WANAWAKE OYEEEEEEE MUDA CMREFU TZ TUTAPATA RAISI MWANAMKE. Chezea wanawake weyee

 5. rose

  April 14, 2013 at 7:15 am

  Rais andika R helufi kubwa lisomeke Rais sio raisi pia hakuna I mwisho,..sawa mamiii!

 6. Brendah BreBre

  April 14, 2013 at 8:40 am

  Nimeipenda hii…wanawake tunaweza

 7. Anonymous

  April 14, 2013 at 1:37 pm

  Huyo wa Brazil ni mama yake Madam Ritha wa BSS nini? Naomba weka picha zao pamoja

 8. Femmy.

  April 14, 2013 at 4:38 pm

  Eee uyo wa brazil ni mzuri yaani soo beautiful… They are real brave and they have been a guwd example.. Sure we can make it.

 9. Anonymous

  May 1, 2013 at 7:07 am

  kilicho nivutia ni historia zao . jaribuni klusoma historia ya HERLN SIRLEEF

 10. Mohamed Jumanne Semboja

  May 1, 2013 at 10:11 am

  Hao wanawake Marais ni mfumo wa Kifaransa yaani Rais ndie mkuu wa nchi. Umewasahahu wanawake waliotawala au wanaotawala kwenye nchi zenye kufuata mfumo wa Kiingereza yaani Waziri Mkuu ndie kiongozi wa nchi. Kiongozi mwanamke wa kwanza kwenye dunia ya leo alikuwa Bi. Sirimavo Ratwatte Dias Bandaranaike. Alitawala Sri Lanka 1960-1965/1970-1977/1994-2000.

  Pia Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Norway, Bi. Gro Harlem Brundtland aliatwala 1981/1986-1989/1990-1996

  Benazir Bhutto 1988-1990/1993-1996

  Angela Merkel, Waziri Mkuu (Chansela) wa Ujerumani 2005-

  Na wengine kadhaa.

  Ungewajumuisha nao kama viongozi wa kike waliowahi au wanaotawala duniani.

 11. Mohamed Jumanne Semboja

  May 1, 2013 at 10:16 am

  Dina..

  Safi sana. Hao Marais uliowataja ni watawala kwenye mfumo wa Kifaransa yaani Rais ndie mkuu na mwenye madaraka kwenye nchi.

  Ila umewasahau viongozi wa kike waliowahi kutawala au wanaotawala kwenye mfumo wa Kiingereza yaani Waziri Mkuu ndie mkuu na mwenye madaraka kwenye nchi.

  Wapo wengi nitawataja wachache:

  Bi. Sirimavo Bandaranaike, Waziri Mkuu wa Sri Lanka. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa nchi kwenye dunia ya sasa.

  Bi. Gro Harlem Brundtland wa Norway.

  Bi. Angela Merkel wa Ujerumani.

  Bi. Sheikh Hasina, Bangladesh.

  Na kadhalika Usiwasahau!

Leave a Reply