Uncategorized

WASHINDI W 4 NA 5 WA MWANAMAKUKA NAO WALIZAWADIWA!

By  | 
Jumamosi hii washindi waliopata nafasi ya 4 na 5 kupitia shindano la ujasiriamali la mwanamakuka walizawadiwa na UWF.
Tulikutana escape 2 kwa lunch na maongezi ya hapa na pale kisha kukabidhi hizo pesa.
Washindi hao ambao ni Maajabu Rajabu na Agnes Daudi walipewa fomu za kufungua acount Bank ya wanawake.Na zoezi hilo lilisimamiwa na mkurugenzi wa bank hiyo Magreth Chacha
Maajabu Rajabu akapewa mfano wa cheki ya Tsh 750,000
Agnes Daud akapewa nae mfano wa cheki 500,000
Picha zaidi zitaendelea...

3 Comments

 1. Anonymous

  April 16, 2013 at 3:27 pm

  DINA SIJUI NI PICHA AU LA NAKUONA KM UMENENEPA. NI VP TENA JAMANI???? AU MACHO YANGU???? HOPE UNAKOMAA NA GYM

 2. Anonymous

  April 17, 2013 at 7:47 am

  asante kwa burudani ya leo,umenikumbushia utoto wangu sinema za kihindi.chori chori chupke chupke,dilmera.mdau jpn

 3. Anonymous

  April 17, 2013 at 12:29 pm

  Mdau wa juu nakuunga mkono .Dina unaanza kunenepa , lakini umependeza.

Leave a Reply