Uncategorized

WATU WANA MATANI…

By  | 
Ni picha nimetumiwa tu na mdau,eti ni siku flani kitambo President Obama alikutana na waziri wa Thai.

12 Comments

 1. emma kahere

  April 29, 2013 at 1:36 pm

  Naona mama obama alitaman awafwate jukwaani awadunde

 2. Grace

  April 29, 2013 at 1:44 pm

  Hahahaha alivyonuna anafuraisha

 3. Mama 2 (Mrs M)

  April 29, 2013 at 1:53 pm

  Heee! Mama kanuna ile mbaya!mpaka sura imekuwa mbaya! Pole mwaya ni vijimambo tu!!!!

 4. Anonymous

  April 29, 2013 at 5:00 pm

  Hahahahahaha. Ila kangekua ka couple flan katamu eee Dina. ?mama Obama maskini akahisi ndege wake anapeperushwa. Akajua duu faza house huyoooooo.

 5. Mija Shija Sayi

  April 29, 2013 at 10:09 pm

  Haaa! Nimekubali watu wana matani..

 6. Anonymous

  April 30, 2013 at 6:28 am

  weka picha up to date bwana kwa kazi yako nzuri uliyoifanya wacha kutuzingua na wewe jamani au funga global yako watu tunapenda kufuatilia vitu vitu kutoka kwenye heeeeee

  • Anonymous

   May 6, 2013 at 3:47 pm

   SIUFUNGUE YAKO UWEKE PICHA UP TO DATE KWANI KILA MTU ANAUHURU .HUNA UMEME AU COMP…NENDA CAFEE ZA JIJINI ANGALIA UP TO … TUACHIE SIE HATUNA NENO.

 7. Anonymous

  April 30, 2013 at 7:53 am

  Anonymous at 11.28pm, those photos is for fun, i think even you not all the time you received the emails for work only. sometimes u have to think different not in the same thing.

 8. Anonymous

  April 30, 2013 at 9:21 am

  yani dina ungejua ninavyoingia hapa kila saa kuangalia yaliyojiri kitchen party gala halafu huweki, unajua utaniboa wewe..

 9. The Lot

  May 5, 2013 at 6:53 pm

  Chezea wa kumoyo wewe,hatari hiyo

 10. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:35 am

  Bi mkubwa hapo chini kanuna kama anataka kupasuka vile.

 11. Anonymous

  May 8, 2013 at 10:39 am

  duh kweli kanunaje

Leave a Reply