Uncategorized

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA WALIOTOKEZEA

By  | 

Tunakumbuka dress code ilikuwa inspired na rangi za bendera ya Tanzania.Waliopendeza walizawadiwa na AMARULA.
 Brand manager wa AMARULA Diana Balyagati akiwapa waliofanikisha kushona na kumatch rangi za bendera ya Taifa.
Hongereni sana kina wadada na wanawake kwa ujumla kwa kuweka effort ya kushona.Asante pia kwa AMARULA kwa kufanikisha.Najua ilikuwa kazi kubwa sana sana ila mimi  kupitia hii nimepata wazo flani hivi ntawashirikisha muda ukifika.
Picha zaidi zitakuja.

5 Comments

 1. Anonymous

  April 30, 2013 at 7:51 am

  WOW WOW WOW beautiful Tanzanian women…. you all rocked!!!

 2. Mama 2 (Mrs M)

  April 30, 2013 at 8:23 am

  Ndiyo Dina!!! mamaaa wa ubunifu, kwa kweli mmependeza sana, yaani kwa kiasi kikubwa umejitahidi kulitangaza Taifa letu. Saafi saaana ma dear!!! Nasubiri hizo picha zingine niwaone watu wengine walivyotokelezea.

 3. RUKY

  April 30, 2013 at 12:23 pm

  PENDEZA SANA KWA KWELI DU…..

 4. ngolilo

  April 30, 2013 at 4:22 pm

  made in Tanzania!!!!

 5. Anonymous

  June 10, 2013 at 7:35 am

  mmmmmmh nouma

Leave a Reply