Uncategorized

ASANTE WOTE MLIOPENDEKEZA MAJINA YA WALIMU WAPYA WA KITCHEN PARTY GALA!

By  | 
Wakati tunatafuta walimu wapya wa kitchen party gala tuliomba wadau mtutajie majina ya walimu hao ili tuweze kuwasiliana nao.Napenda kuwashukuru sana maana majina yalikuja mengi sana moja wapo ni la Rahma Teddy(pichani mwenye kikoti cha kijani) ambae alishiriki nasi hii iliyoisha.Alifanya kazi yake poa naamini akiendelea kuonekana kwenye hadhira mbalimbali si kitchen party pekee anaweza kuja kuwa bora mno.
Majina yalikuja ni haya hapa

Bi chambua

mam mwikenda(diwani)

Mama Maraoda -Mwananyamala

Mary Gabusa-maji matitu

Rehema kangero-Moshi

Sonia-Gmboto

Mama sham-Musoma

mama hamidu-dar

Geradina Gervas

Martha Bile mkini

Latifa-Mbeya

Mchungaji
Mwabukusi-Arusha

Amina Mnjori

Jackson Mndeme

Dniel Basila-Dar

Irene Mbowe-Arusha

jokha Limki-Dar

Samuli mchael-Dar

Tatu Lukongo

Bibu kidude-Dar

Otilia Mapunda

Johari Mwasesela

Hellen reporter

Ziara zidatu-Dar

Teddy -Dar

Toba muhede-Iringa

mma Mangasala-Mtwara

 Asanteni wote mliopendekeza tutawafatilia hawa kina mama nimeona niwape feedback mjue majina tuliyapata.

6 Comments

 1. Suzanne

  May 8, 2013 at 8:21 am

  Dada Dina wakati. Mwingine msimuache MCHUNGAJI mwabukusi ni noma yule baba jaribu hata kufanya mahojiane nae utaona

 2. Anonymous

  May 9, 2013 at 11:21 pm

  Dada mwenyewe kikoti cha kijani namjua Dina mmepata mwalimu mzuri mno dada rahma teddy mtaipenda kazi yake

 3. Anna

  May 10, 2013 at 6:38 am

  Hongera dina kwa kupaka list Nzuri ya walimu wa kitchen party miungoni mwa hao akiwemo dada Rahm teddy kwa kweli mtaipenda kazi yake .all we are behind you rahma go go ……..

 4. Anonymous

  May 10, 2013 at 8:42 am

  dina huyo dada Rahma ni mzuri sana tulienjoy sana neno lake naomba usimuache next time.

 5. Anonymous

  May 10, 2013 at 8:43 am

  Dina huyo dada ni msomi anaonyesha na ndio tunataka watu kama hao sio wanaokadilia, najua unanielewa ninachomaanisha. Asante

 6. Anonymous

  May 10, 2013 at 8:44 am

  Nilimpenda sana huyo dada Teddy.

Leave a Reply