Uncategorized

BOMU LALIPUKA KANISANI ARUSHA LEO HII!

By  | 
 

BOMU LIMELIPUKA KATIKA KANISA KATOLIKI PAROKIA MPYA YA OLASITI ILIYOKUWA INAZINDULIWA LEO JIJINI ARUSHA.

BOMU HILO LIMELIPUKA WAKATI
WAUMINI WA KANISA HILO LA KATOLIKI WAKIENDELEA NA SHEREHE ZA UZINDUZI WA
KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA  NA MPAKA SASA  HAIJAWEZA KUJULIKANA
IDADI KAMILI YA WATU WALIOJERUHIWA LAKINI TAARIFA ZINASEMA KUWA KUNA
BAADHI YA WATU WAMEJERUHIWA NA KUWAHISHWA HOSPITALI KWAAJILI YA MATIBABU
NA MPAKA MUDA HUU HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA BOMU HILO
KULIPUKA.

CHANZO CHA BOMU HILO INASEMEKANA
KUWA KUNA  GARI AINA YA HIACE ILIFIKA KANISANI HAPO NA KUSIMAMA BAADAE
AKASHUKA MTU ALIYEKUWA AMEVALIA VAZI MITHILI YA KANZU NA KURUSHA BOMU
HILO, BALOZI WA PAPA NCHINI NDIYE ALIYEKUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI
WA KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA NA AMENUSURIKA KATIKA BOMU HILO ILA
WATU WENGI WAMEJERUHIWA ZAIDI .

6 Comments

 1. Anonymous

  May 5, 2013 at 1:31 pm

  KWA HIYO MTASEMA WAISLAM NDO WAMERUSHA? MAANA KILA BAYA WAISLAM WAKATI MNAGEUKIANA WENYEWE KWA WENYEWE

 2. mahodi

  May 5, 2013 at 8:54 pm

  Taarifa ni watu 9 waliopoteza uhai na wengine kujeruhiwa kwenye tukio hili.

  TUKISEMA SERIKALI YA JAKAYA IMESHINDWA KUTETEA AMANI YA NCHI MTASEMA HATUNA JIPYA.SASA MATUKIO KAMA HAYA NDIO MNATAKA YAENDELEE KUZUNGUKA NCHINI KWETU..
  "BORA MMALIZE TEMBO KULIKO BINADAMU,HAPA TUKIKOSA HIZO PEMBE ZA NDOVU NA VITU VINGINE TUBAKI KUITWA TAIFA LENYE WAKAZI WENGI LAKINI HATUNA NA VITU VYA KUVUTIA WATALII".

  TUJIHOJI NINI KWANN KANISA KATORIKI LINAKUMBWA NA MATUKIO KAMA HAYA KILA SIKU…

  Kutoka facebook akaunti ya;
  Masunga Jandika
  MLIPUKO ARUSHA TUJIFUNZE NINI?!
  Ndugu watanzania tunaenda wapi? Ukweli ni kwamba tuNAkoelekea sasa ni kubaya. Naomba kamwe tusikubali mizengwe inayohatarisha amani ya nchi yetu. mpende jirani yako kama unavyojpenda wewe mwenyewe. Tutoe taarifa mapema ktk vyombo vya uslama ama tutoe taarifa popote ili kuepusha balaa, pale tunapohisi ama kuthibitisha jambo baya dhidi ya maisha yetu linaweza amaa kutarajiwa kutokea. Poleni sana Wana Wa Arusha kuwne wavumilivu Mungu yu nanyi. Majiyakimwagika hayazoleki. Tujipange kulinda taifa letu na Watanzania sote kwa ujumla dhidi ya wadharimu wa nchi yetu. NCHI NI YA WANANCH,I tunastahili sote kuishi kwa amaniTanzania na hata Afrika kwa ujumla

 3. GIFT

  May 5, 2013 at 11:29 pm

  GOD SAVE US FROM THIS CHAOS…..WE BETTER BE CAREFUL DEAR TANZANIAn'S…RELIGIOUS WARS ARE THE WORST WARS EVER IN THE WORLD…

 4. GIFT

  May 5, 2013 at 11:34 pm

  GOD SAVE US FROM THIS CHAOS…..WE BETTER BE CAREFUL DEAR TANZANIAn'S…RELIGIOUS WARS ARE THE WORST WARS EVER IN THE WORLD…

 5. Anonymous

  May 6, 2013 at 7:27 am

  JAMANI JAMANI BINADAMU WENZANGU, MBONA TUNAKUWA NA ROHO YA KIKATIRI KIASI HIKI,TUKUMBUKE WOTE NI WAPITA NJIA KATIKA HII SAYARI YA DUNIA… HIVYO BASI TUJARIBU KULINDA UHAI WETU MPAKA PALE MWENYE MAMLAKA ATAKAPOTUITA.HIKI KINACHOENDELEA NASHINDWA MAHALI PA KUEGAMIA, KAMA NI UDINI AMA NI UHUNI WA WATU CHACHE WA IMANI ZOTE.. EE MUNGU TUSAIDIE..

 6. Anonymous

  May 6, 2013 at 3:18 pm

  wote waliofanya hiki kitendo wakikamatwa hakuna cha kuunda tume wala nini ni kuwanyonga tu,tena hakuna hawa wanasema haki za binadamu kuwatetea

Leave a Reply