Uncategorized

BONGE LA UJUMBE!!

By  | 
Kila mtu naamini katika maisha yake amewahi kuzushiwa jambo.Kama shuleni,chuoni,mtaani,hata nyumbani unaweza kuzushiwa,kazini,kwenye jamii na kwa namna yoyote.
Unazushiwa jambo kwa namna ambayo ukikaa peke yako na nafsi yako unajiuliza mtungaji amekuwazia nini??Pengine ulizushiwa zamani hadi leo ukikaa unakumbuka maumivu na athari za uongo ule juu yako! 
Zamani mie nilikuwa nikizushiwa naumia sana.Ila siku hizi nimekomaa na nimekwiva hakuna cha kuniteteresha.Ila kwa wewe ambae bado nakutia moyo kuwa maisha yana mambo mengi pengine na bado hawajamaliza.Watu ni wengi duniani binaadamu wachache.Lengo lao ni kukugaragaza chini uwe mnyonge…wala usikubali..simama waambie kwa vitendo walaa hamjanishtua mapambano bado yanaendelea.
 Ujumbe huo hapo juu ukuweke kifua mbele na tabasamu ya hatari usoni.Kama kienglish kimekupita anaeuelewa vizuri atutafsirie.

20 Comments

 1. RUKY

  May 27, 2013 at 1:50 pm

  TRUE TRUE TRUE……LOVE DINA NAUMIA KWELI NIKISIKIA UMBEA UMBEA W KUZUSHIWA ..

 2. Anonymous

  May 27, 2013 at 2:59 pm

  asante dina kwa ushauri wako napitia ktk kipindi kigumu haya maneno yamepa ushasiri thx

 3. SIA

  May 27, 2013 at 4:06 pm

  Asante dada kwa ujumbe mzuri

 4. Anonymous

  May 27, 2013 at 5:41 pm

  jambo kama hili katika jamii yetu haliwezi kukosa dina umenitia moyo ubarkiwe sana dina

 5. Anonymous

  May 27, 2013 at 5:45 pm

  Thats very true my dia…maneno ya kuzushiwa yanauma sn but ndo hvo tena we have to be strong and move on.

 6. DAVIS MAZULA

  May 27, 2013 at 8:47 pm

  i love dat,kiukwer ni ujumbe mzuri mno.

 7. DAVIS MAZULA

  May 27, 2013 at 9:06 pm

  Daima watu watazusha uongo dhidi yako,watazua makasheshe kuhusu wewe.uwezalo kufanya ni kusimama na kutabasamu…nahisi na kaenglish kadogo nilikojaaliwa nimejaribu.amanini?

 8. Anonymous

  May 28, 2013 at 6:54 am

  Kwakweli haya maneno umeyatoa wakati muwafaka mana ule uzushi niliousikia Nilishtuka sana HAPO NIKASEMA BINADAM HATA UWE VIPI LAZIMA UTAZUSHIWA AU KUSEMWA…..MPAKA SIKU UKIFA NDO UTASEMWA KWA MEMA DADA YANGU…POLENI SANA DADA ZANGUNI MANA HUKUZUSHIWA PEKE YAKE NA KINA SHAMIM PIA.

 9. Anonymous

  May 28, 2013 at 7:39 am

  Watch My Pace…….. ndio msemo wangu baada ya kuona au kusikia habari za kuzushwa. Hata siku moja haina haja ya wewe kutoa maelezo mara ohh sio hivyo ,sikufanya,sikusema,kwasababu kuna jamabo wanalotaka kuliskia na usipo tamka hayo maneno hata ukeshe ukijieleza hakuana atakae kusoma kwa sababu they HATE YOU. so mimi huwa natulia na nina sema ipo siku THEY WILL ALL KISS MY BOOT!!!

 10. Anonymous

  May 28, 2013 at 10:00 am

  Hello Dina keep your head up nobody can believe what haters say let them talk it wont kill you those are trails and challenges and you will surely strive on..I am a sister who adores you..and I love your Blog!

 11. Anonymous

  May 28, 2013 at 10:29 am

  Asante dada you made my day mana jana tuyamenkuta, nilivyosomaujumbe wak umeniicourage nimepata relief na kusongambele.Be blessed my sister!!

 12. Anonymous

  May 28, 2013 at 1:08 pm

  duh dina una akili hadi zinamwagika uzushi, niliowahi kuzushiwa ni wa kuharibu maisha yangu yoote lakini kwa ujumbe huu u make me smile,
  i lv u Dina.

 13. Anonymous

  May 28, 2013 at 8:43 pm

  DU! FANTASTIC MESSAGE. YAANI MIMI OFISINI KWANGU NIMEZUSHIWA MAMBO MIA KIDOGO HATA UKITEMBELEWA OFISINI NA WADOGO ZAKO WA KIUME UNAAMBIWA NI VISERENGETI BOY VYAKO. JAMANI DUNIANI KWELI KUNA MAMBO. LAKINI HUWA NAWA IGNORE NAENDELEA NA KAZI ZANGU. USIJALI DINA, WATU WAKIKUSEMA VIBAYA MUNGU ANAKUFUNGULIA MILANGO YA BARAKA ILI WAPATE KUUMBUKA.

 14. Anonymous

  May 30, 2013 at 5:30 am

  Yan me zaman nilikuwa nalia nikickia vitu anbavyo c vya kwl ila cku hz huwa nasema hy mtu aliyeka na kutunga maisha yk yanaboa yangu yana muipress ndio mana yupo busy na yang

 15. Anonymous

  May 30, 2013 at 7:22 am

  Dina, kama ulikuwa moyoni mwangu. yaani mavitu ya kusingiziwa yanaumiza moyo. Me binafsi bado naandamwa na hyo kitu. roho inaniuma sna. ila nitafata ushauri wako na wa wadau wote. ila yanaboa saaana.

 16. Anonymous

  May 30, 2013 at 4:09 pm

  Asante Dina kwa ujumbe mzuri sana. ni mimi mbunge fulani

 17. Anonymous

  June 4, 2013 at 9:40 am

  Nilichukia kuishi, nilichukia kazi kila kitu nilikiona kibaya kwa munda wa miaka mingi, nahisi nilikuwa na makovu mengi moyoni kwa kuandamwa na manane mengi, kama alivyosema anonymous moja hapo juu, ukipata lift ya mtu basi taabu ukitembelewa ni taabu, lakini sasa namshukuru mungu kwani nimejifunza kuwa watu wengine hawapendi wenzao wawe na furaha. asante dina kwa ujumbe

 18. Anonymous

  June 4, 2013 at 3:47 pm

  Jaman umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nilivyokua mdogo nilisingiziwa nimerusha na kupasua mayai Viza nyumban kwa mwanajeshi mmoja hv.
  Wapendwa nilipigwa siku hiyo sitasahau.

 19. Anonymous

  June 18, 2013 at 1:39 pm

  Lovely message..we always say you have time to gossip about other people because your are full of jealous of who they are.

 20. Anonymous

  July 6, 2013 at 6:35 am

  kweli kabisa dada dina.

Leave a Reply