Uncategorized

DADA TEDDY NAE AWA MSHINDI WA DINNER WITH DINA!

By  | 
Habari Da Dina. Natumain ni mzima wa afya. Mim kwa jina naitwa Teddy
E. Njauzi. Nina miaka 27 na pia ni mama wa mtoto mmoja.  Da Dina
kwanza naomba nianze kwa kuanza kukupa pongezi kwa tuzo ya mwanamke
bora wa mwaka. Kiukweli hilo kwangu nililitegemea na wala sikushangaa
wewe kupata tuzo hiyo. Dina uweli wewe ni my role model wangu si
nasema ivi hapa sabab nataka mwaliko dina anagalia katika email zako
za nyuma nilishawahi kukuandikia email jinsi gani unavyoni inspire,
pia nakumbuka ata kuna email nilikuandikia kama proposal dina kama
nataka kufanya kipindi changu kitavyokuwa na navyotaka kufanya dina
nilifurah sana na sikutegemea ila ulinijibu nisikate tamaa ata wewe
ulianza ivo ivo kiukweli kunijib ivo tu nilijisikia faraja sana
mapenzi yangu kwako yakaongezeka. 
Dina hata ulivyopata tuzo yako
nilifurahi sana nikaamua kuwaambia watu kwenye account yangu ya
facebook natumia jina la Naziwa  niliweka picha zako za tuzo na
nikasema jinsi gani ulistahili na unavyoinspire maisha yangu. Dina ata
kama sitapata chance ya kuwa kwenye dinner tar 14 its ok ila nataka
kukwambia tu kikubwa nilichojifunza toka kwako ni KUJIAMINI. True dina
toka moyon wewe leo hii ndio umenifanya mim teddy or naziwa nianze
kufanya biashara. Dina kwa upande wang mim nasema kwako kila neno
unalolitoa kinywan mwako kwangu mim naona unifundisha na kunifanya
niwe mwanamke bora nisiwe tegemez wa mwanamme. Yani unavyoandikaga
storia ya maisha yako huwa nasema huyu dada jaman mungu amembariki
sana dina kiukweli mungu amekujalia maarifa sana. 
 Kuna sehemu
nilishawahi kukuona live kama mara mbili ila nataman ata kuja
nikusalimie nikushike mkono ila najawa na woga yan wewe kwangu nakuona
kama sijui rais au sijui nikufananishe na nini ila dina nakupenda sana.
Ninayo mengi ya kuandika ila nashindwa tu kukuelezea wewe dada. Alafu
yani kuna mawazo mengi huwa yanafanana na wewe nahisi karama yako
inafanana na yangu. Dina sina mengi ila nakutakia kila la kheri katika
programu yako utakayoianzisha na wish siku moja naweza kupata hata
nafasi ya kuongea nawewe. 
Asante Mungu Akubariki, pia mungu akipenda
tuonane tarehe 14. Asante!
Hello Dear
  Asante Teddy yaani sijui nisemeje Mungu pekee anajua.Yaani am so blessed kwa kweli.
Nafurahi utakuwa miongoni mwa wale watakaojumuika nami kwenye hii dinner maalum.
Tutawasiliana my dear nina namba yako!
Asante sana
Dina Marios!

2 Comments

 1. Anonymous

  June 3, 2013 at 7:30 pm

  naona kawivu dina

 2. Anonymous

  June 5, 2013 at 1:05 pm

  Mambo vipi Dina??? mimi ni binti tuu kama wewe Naitwa jina langu hapa nalihifadhi, naishi jijini hapa Dsm, Honestly huwa unanigusa sana na shughuli zako zote kiujumla unazofanya za kumtia moyo mwanamke, ubarikiwe sana na Mungu akakuinue juu zaidi, akupe haja ya moyo wako haijalishi umeisubiri kwa miaka mingapi lakini kwa maombi ninayokuombea utapata Haja ya moyo wako…Nakupenda sana Dina, sana sana, natamani siku tuonane tukae tuongee sana, tushee mambo mbalimbali coz sinaga mashoga wala marafiki kivilee si unajua sio waaminifu but i think nikikaa na wewe nitapata kitu…Kazi njema.

  .

  ..

Leave a Reply