Uncategorized

HII PICHA HAINA QUALITY NZURI ILA NIMEINGALIA NIKATABASAMU!

By  | 
Picha huzungumza maneno zaidi ya 1000?wewe umeona nini?

18 Comments

 1. ELIUD SAMWEL

  May 6, 2013 at 12:34 pm

  Watu wazima ila tunaendeshwa na mtoto kutoka na ufinyu wa akili zetu

 2. Anonymous

  May 6, 2013 at 12:37 pm

  like a Boss

 3. Julian

  May 6, 2013 at 2:24 pm

  if u wanna be a successful pers0n, d0n afraid t0 take risk…

 4. Anonymous

  May 6, 2013 at 4:01 pm

  1: Watanzania na kikwete
  2: Watanzania na ccm
  3: Ruge na bongo flava
  4: Jide na team jide
  5: Tanesco na Watanzania
  picha inaongea mengi sna kwa nchi yetu mtu 1 tu anaweza akatupeleke weee atakovyo kisa anakitu

 5. Cymah Wandelt

  May 6, 2013 at 8:55 pm

  enzi zangu uwi nilichungaje ng`ombe sasa.

 6. Anonymous

  May 7, 2013 at 4:02 am

  ng'ombe wanamchunga mtoto

 7. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:09 am

  Nimemuona kiongozi ambaye ametukuka katika uongozi wake ndio mana ana wafuasi wanamfuata. Kiongozi anatakiwa kuonyesha njia ili wafuasi wake wamfuate ndio picha hiyo inazungumza hivyo.

 8. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:29 am

  A confident young man!

 9. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:41 am

  ujasiri

 10. Anonymous

  May 7, 2013 at 6:15 am

  Mtoto jasiri kati ya kundi la ngombe wakubwa tena wanaonekana wakali ila amewatuliza ni kiongozi hodari

 11. Anonymous

  May 7, 2013 at 6:19 am

  Hapa naona ujasiri na kujiamini katoto kenyewe kako comfortb. Mrs.kaka mkubwa

 12. Anonymous

  May 7, 2013 at 8:12 am

  Ajira kwa watoto

 13. Anonymous

  May 8, 2013 at 11:26 am

  WAKATI MWINGINE UKUBWA WA UMBO AU UMRI WA MTU SI KIGEZO CHA KUWA KIONGOZI
  WA WATU AU VITU!.

 14. emma kahere

  May 9, 2013 at 2:41 am

  1.ina2onyesha ukitaka kufanya jambo kuwa jasir usiogope nyumba kuna nan na utapata makwazo gani. 2.mtoto mdogo badala yakuwa shule nakupata elimu bora anafanya kaz nawakat ndo taifa la baadae.

 15. Anonymous

  May 9, 2013 at 3:08 am

  Imetulia

 16. Anonymous

  May 9, 2013 at 3:09 am

  Poa

 17. Anonymous

  May 15, 2013 at 7:39 am

  Akili ndogo inaongoza akili kubwa

 18. Anonymous

  May 15, 2013 at 7:40 am

  Mungu amewafunulia watoto wadogo na kuwaficha wenye hekima na akili

Leave a Reply