Uncategorized

INAUMA SANA RAFIKI YAKO WA DHATI ANAPOKUSALITI!SIKILIZA STORY HII!

By  | 
Mara zote tumezoea rafiki akimsaliti rafiki ni kwa kutembea na mume wa rafiki yake au mpenzi.
Wakati mwingine si kutembea na mumeo au kukusemea maneno ya uongo au umbea.
Sikiliza leo tena leo kuanzia saa nne kamili hasubuhi kuna dada anaitwa Rehema yeye ana kilio tofauti juu ya usaliti aliofanyiwa na rafiki yake kipenzi.Inahuzunisha sana na kuuma sana ni unyama uliopitiliza kwa binadamu kumfanyia mwenzie ambae amekuwa mwema kwake toka walipofahamiana.
Nikimaliza kipindi ntakuja kuisimulia kwa yule ambae hakuisikiliza.

21 Comments

 1. Anonymous

  May 6, 2013 at 6:47 am

  aisee…natamani kuisikia nipo na simu yangu ofisini ready for listening the story….

 2. Anonymous

  May 6, 2013 at 10:07 am

  dina plz tuwekee huyo dada tumsikie na ss ambao tumemiss kipindi leo,,plz my dada

 3. Anonymous

  May 6, 2013 at 11:54 am

  tuwekee na sie dina tusome.

 4. Anonymous

  May 6, 2013 at 12:31 pm

  Dada Dina tuwekee bas! Wengine hatukubahatka kusikiliza kipind!

 5. JULIAN MARIKI

  May 6, 2013 at 2:35 pm

  waiting f0r this st0ry mamii..

 6. Anonymous

  May 6, 2013 at 3:31 pm

  Dada Dina tuhadisie sie hatukua na umeme kwetu hiko kisa,tunakimiss wenzio

 7. Anonymous

  May 6, 2013 at 3:43 pm

  Dina sielewi kaa nimechemsha leo 06-05 J.3 NIMEKINGOEA NIKAAMBULIA KASWIDA YA HARUSI NIMEURA SANA PLS UNGEANDIKA NI SIKU GANI NA SAA NGAPI KWA SISI TUISHIO NJE YA TANZANIA

 8. Anonymous

  May 6, 2013 at 5:40 pm

  dina wewe had m naanza kuzoe promis zako kuhusiana na hii blog ni za uongo

 9. Cymah Wandelt

  May 6, 2013 at 8:57 pm

  Tuwekee dada yangu, inauma sana kusalitiwa na rafiki yako kipenzi, kuna vingine mtu unaogopa hata kuhadithia. tuwekee mama nimemiss ya leo

 10. ELIUD SAMWEL

  May 6, 2013 at 9:00 pm

  Siwezi kosa hii

 11. Femmy...

  May 6, 2013 at 9:02 pm

  I miss leo tenaaaaaa… 🙁

 12. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:33 am

  dina pls usiache kutuwekea dada maana wengine kama sisi wafanyabiashara muda wote tunaongea na wateja redio unaisikia nusunusu

 13. Anonymous

  May 7, 2013 at 6:31 am

  My dear usitusahau wapenzi wa blog yako. Na sie tusikie hiyo habari. Naingoja kwa ham.

  Mama Alice

 14. Anonymous

  May 7, 2013 at 9:01 am

  rafiki ni mama yako2. walobakia wote wazushi dunian

 15. Anonymous

  May 7, 2013 at 12:54 pm

  Rafiki nyoka kabisa;nibora shoga yako awe mama yako mzazi lol..

 16. Anonymous

  May 10, 2013 at 7:36 am

  Dina mbona unatuyeyusha tena!!!!tuwekee story nasi tusoma ambao hatukupata nafasi ya kuskiliza kipindi

 17. Anonymous

  May 10, 2013 at 11:02 am

  mmh jamni simulia bac da dina wengine tulimis kipindi

 18. Anonymous

  May 14, 2013 at 6:05 am

  wapi stori Dina jamani?

 19. othman kc

  May 18, 2013 at 1:04 am

  Dina rudisha hile sytem ayako ya zamani yakuweka crip za Hekaheka nk

 20. Anonymous

  May 19, 2013 at 7:12 am

  DINA KHAA MBONA UMETUACHA KWENYE MATAA NA HII STORY??TUMENGOJA VYA KUTOSHA SS MPK HAMU ZINAISHA TENA NDUGU YANGU,,BORA UTUAMBIE UKWELI KUWA HUTATUWEKEA TENA KULIKO KILA SIKU TUNAKODOA MIMACHO HAPA THN HAKUNA LOLOTE

 21. Anonymous

  May 22, 2013 at 5:26 pm

  uwiiii tumechoka kusubiri jamani

Leave a Reply