Uncategorized

PICHA ZAIDI ZA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA

By  | 
 Asante sana wadhamini wetu MaxMalipo kwa ushirikiano wenu.
Mwanahamisi and the team.
Asante AMARULA na team nzima ya Diana Balyagati
Casandra Lengerie walikuwepo
 Khadija Kopa alikonga nyoyo
 Burudani ilipamba moto
Vijana wa THE VOICE waliimba nyimbo kwa ajili ya wanawake.
Getrude Mungai kutoka Kenya alitoa somo lake la ME,MYSELF N I
Aunty Sadaka nae aliwakilisha

Picha zitaendelea…kumbuka mwezi june itakuja ya wasichana na wavulana ambao hawajaolewa.Wake kwa waume baaada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

2 Comments

 1. Anonymous

  May 1, 2013 at 4:39 pm

  Hili tukio lilitangazwa sana, nilitegemea kuona, kwa kifupi, wasemaji waalikwa waliongea kitu gani, na nini ilikuwa madhumuni ya hii "gala". Lakini, kwangu binafsi, sioni umuhimu wa kuweka picha nyingi za watu "wanajisevia" msosi badala ya kuonyesha vitu au mambo ya mafanikio ambayo yamefanywa na vikundi vya wamama/wanawake wajasiria mali.
  Pia, kuna wengine wameonyesha tabia mbaya ya kupakua chakula huku wakiongea kwa simu, siku nyingine usiweke picha kama hizo kwa dunia nzima kuziona.
  La mwisho, naamini mliandaa tukio hili kwa nia njema na moyo safi kabisa. Lakini tukubaliane kuwa uzoefu wa kundaa shughuli kama hizi unatofautiana, ni vizuri kutafuta ushauri kutoka kwa wadau wanaowakilisha makundi mbalimbali kama wanafunzi, walemavu, watu walio nje ya nchi lakini wana hamasa na Tanzania n.k.
  Hata mimi naweza kujitolea, mkinihitaji baadae, ili kufanya tukio hili kufikia malengo yake kwa hufanisi zaidi.
  Asante,
  MapigoSaba

 2. Anonymous

  May 7, 2013 at 9:23 am

  Jmn uwiiii na mi nitakuepo huo mwenzi june plz msibadilishe mda zaidi ya mwezoi wa 8 na kiikgilio kisiwe kikubwaa,nitafurai nikiudhulia.

Leave a Reply