Uncategorized

SIMU YAKO YA KWANZA IKO WAPI KATIKA HIZO??

By  | 

Siku hizi watu mna masmartphone nini lakini tulitoka huku…..

22 Comments

 1. Anonymous

  May 21, 2013 at 12:01 pm

  yaani dina umenikumbusha mbali sana,cm yangu ya kwanza ni hiyo nokia 3310 tena nililetewa by surprise na aliyekuwa mume wangu,yaani cku hiyo nilifurahi kweli.

 2. Anonymous

  May 21, 2013 at 1:52 pm

  Hallow Dinah,
  Nina shida kubwa sana ya kupata blog ya Millard. Tangu Shamim afanye mabadiliko kwenye blog yake sijaifungua hata nimepiga simu yako uliyoiweka kwenye blog yako bila mafanikio.
  Asante

 3. Anonymous

  May 21, 2013 at 1:53 pm

  unaweza kutuelekeza kwenye blog yako jinsi ya kupata millard blog

 4. Anonymous

  May 21, 2013 at 3:34 pm

  Cm yngu ya kwanza ni 3310 nokia

 5. Anonymous

  May 21, 2013 at 4:15 pm

  Ha ha umenkumbusha long kasmu kangu ka kwanza kalikuwa vile vi Simens mwanga wa screen ni orange ndo nilikuwa namalza 4m 4 Arusha Meru Sec.

 6. ruky

  May 21, 2013 at 4:33 pm

  mmh kweli twatoka mbali maana ninayomiliki kwa sasa alhamdulilahi wallahi…maana sisemi wala siamini bali ndiyo majaaliwa

 7. Anonymous

  May 21, 2013 at 4:58 pm

  Hi Dina

  Duh mie yang ya kwanza ilikuwa samsung dole gumba hen nikaja pewa nokia hiyo pana walikuwa wanaita jeneza,kwel tumetoka mbalii

 8. Habiba

  May 21, 2013 at 9:36 pm

  Mmmh!!!! hiyo simu yenye ukubwa kama calculator mimi hoi natamani nipate picha ya mtu aliekuwa anaitumia nione alikuwa anashikaje

 9. Habiba

  May 21, 2013 at 9:41 pm

  Mmmh!!!!Hiyo simu kama calculator mimi hoi natamani nipate picha ya mtu aliekuwa anaitumia nione alikuwa anashikaje

 10. Anonymous

  May 21, 2013 at 9:49 pm

  Ha,ha,ha,ha, Dada Dina umetukumbusha mbali, hembu tuambie wewe ulikuwa na ipi hapo kama si hiyo philips bomba mche wa sabun

 11. Anonymous

  May 21, 2013 at 9:50 pm

  Ha,ha,ha,ha, Dada Dina umetukumbusha mbali, hembu tuambie wewe ulikuwa na ipi hapo kama si hiyo philips bomba mche wa sabun

 12. Anonymous

  May 21, 2013 at 11:16 pm

  Hahahahahaaaa! Kweli bana, ila me cha kwanza kilukuwa ni 3310. Ww ucpime.

 13. evelyn

  May 22, 2013 at 3:08 am

  umenifurahisha sana Dina, yani mambo ya kale, hilo lisimu kubwa la pink, yaani nilikuwa najiona mdada wa nguvu. Leo hii libebe uone utakavyo tolewa macho… hh umenikumbusha bali sana Dina .. kazi njema

 14. Mama 2 (Mrs M)

  May 22, 2013 at 5:33 am

  Du! Dina nimechemka! wala sikumbuki simu ya kwanza ilikuwa ipi. ila mi nakumbuka tu simu yangu ya kwanza ilikuwa ni Twanga Pepeta.

 15. BQ

  May 22, 2013 at 6:08 am

  ha ha ha umenikumbusha mbali sana aisee mi yangu ilikuwa hy SIEMENS dah kweli tumetoka mbali

 16. emu-three

  May 22, 2013 at 6:12 am

  Nakumbuka ya kwangu ya kwanza ilinisumbua maana nilikuwa nikikizungusha hicho kimkonga kupata muelekeo mpaka kikakatika! Kweli tunatoka mbali.
  Lakini nililojifunza ni kuwa nyanja hii ya mawasiliano ipo juu, na ninakiri ni sehemu ambayo kweli kuna wasomi, ambao wanabuni, na kubadilika kila siku tofauti na nyanja nyingine kama ya umeme ambapo hakuna mabadiliko, hakuna maendelea hasa kwa nchi yetu hii..

 17. Not Hater:

  May 22, 2013 at 8:25 am

  Mi cm yangu ya kwanza kalikuwa kale kasiemens kako kama radio call.Nakaona hapo.

 18. Anonymous

  May 22, 2013 at 4:53 pm

  hahahaa.. Kitu Twanga pepeta

 19. Disminder orig baby

  May 23, 2013 at 6:46 am

  Duh nimecheka leoo.
  asante sana kunifungulia siku.

 20. Anonymous

  May 23, 2013 at 9:20 am

  No way out sis#

 21. Anonymous

  May 26, 2013 at 8:42 am

  motorola kama dole gumba

 22. Anonymous

  May 27, 2013 at 5:20 am

  Yangu ilikuwa motorrola yenye antena! Ukiweka mfukoni haienei!!!!

Leave a Reply