Uncategorized

UMESHASIKIA TIBA YA SERAGEM?

By  | 
Mashine hii hutumika kwa kulalia na inakumassage mwili ili kukupa tiba.Inatibu kwa kupitia uti wa mgongo na ndani
yake kuna mshipa mkuu wa fahamu ambao ndio njia kuu ya mawasiliano kati
ya Ubongo na viungo vya mwili. Kuna picha mbili za aina ya mashine zetu
tunazozitumia hapa kituoni katika kutoa huduma moja ni
P390 (Thermal Partable Massager – Manual mashine), na nyingine ni RL1
(Automatic bed).
Kazi
ya mashine hizi ni kunyoosha uti wa mgongo ambao ndio chanzo cha
magonjwa kwa kuminywa kwa mishipa  ya fahamu, kusisimua mishipa ya
fahamu iliyokuwa imeminywa na kusinyaa, kurejesha uteute kwenye disc za
uti wa mgongo na sehemu za maungio ya mwili, kuzibua nishipa ya damu,
kuinua (kuongeza kinga ya mwili), kuondoa sumu mwilini.
 Kwa
kufanyika yote hayo mwili unakuwa na uwezo wa kujiponya wenyewe kwa
sababu kila kiungo katika mwili kinakuwa na uwezo wa kufanya kazi yake
bila mapungufu yoyote. Ukitaka kuondokana na magonjwa yote sugu na
ambayo siyo ambukizi fika kituoni kwetu Masa Ceragem Tabata Magengeni.
Wagonjwa wakitoa ushuhuda wa namna wanavyopona baada ya kuwa walikuwa wamepooza mwili au kuwa na magonjwa mbali mbali.
 Kwa mawasiliano zaidi piga:


0222808007, 0714 403442, 0655 337764, 0715
333386, 0754 458399, 0712 406058, 0657 439798.

Kituo chetu kinaitwa MASA CERAGEM kipo Tabata Magengeni.

3 Comments

 1. Anonymous

  May 13, 2013 at 6:47 pm

  ceragerm ni nzuri nilishatumia pia

 2. Shabani Tolle

  May 15, 2013 at 11:38 am

  anonymous, tuelezee uzuri wake nini, imekusaidaje wewe?

 3. ELIUD SAMWEL

  May 22, 2013 at 10:48 pm

  Vp dada dina sisi wa mikoani?

Leave a Reply