Uncategorized

UNAKUMBUKA HII??NILIULIZA WATU GANI MAARUFU UNGEPENDA KUKUTANA NAO NA KWA NINI??

By  | 
Haya ndio majina yaliyotajwa zaidi…
 Wema sepetu muigizaji wa filamu za kitanzania na mkurugenzi wa endless fame.
Dina Marios mtangazaji wa leo tena ya clouds fm.
Joseph Kusaga Mkurugenzi wa clouds media group.
Jacob Steven JB mwigizaji
Asha Rose Migiro aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN
Mh.Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mh.Edward Lowassa mbunge wa jimbo la Monduli
Mh.Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini
 Mh.John Pombe Magufuli warizi wa miundo mbinu
Said Salim Bakhressa mfanyabiashara mkubwa Tanzania
Shamim Mwasha blogger 8020fashions
Millard Ayo mtangazaji wa clouds fm amplifire
 Nancy Sumari former miss Tanzania

Janet sosteness wa Ongea na Janet talk show

Dr.Fenela Mkangara
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Gerald Hando mtangazaji wa PB ya clouds fm

 Mange Kimambi blogger

Aunty Sadaka mwanasaikolojia ya jamii.

Mfanyabiashara na mmiliki wa makampuni ya IPP media

 Mchungaji Getrude Lwakatare

 Ridhiwan Kikwete
 Najua ni wengi sana ila hawa walitajwa zaidi.

Lengo la mimi kuuliza haya ni nini?stay tuned soon nazindua project yangu mpya.Ntawahabarisha ni nini?
MUHIMU
Haya si maoni yangu nimetoa matokeo ya maoni.Kama hukuona ulipitwa soma hapa.Wakiongezeka majina yakija mapya nitaongezea hapo.
http://dinamarios.blogspot.com/2013/02/ni-mtu-gani-maarufu-ambae-ungependa.html#comment-form

41 Comments

 1. masaka

  May 6, 2013 at 2:23 pm

  hapo natamani xaaaana Gelard na Millard

 2. Anonymous

  May 6, 2013 at 7:29 pm

  Hi Dina

  Haya tunaisubir hiyo project

 3. Femmy..

  May 6, 2013 at 8:50 pm

  Sawa mammie am happy Edward lowasa got the chance in…

 4. Anonymous

  May 6, 2013 at 9:21 pm

  Acha umbea na ww hao wote umewachagua mwenyewe acha uongo..umeweka Watu wako unao wataka.poor u!!!

  • dinamariesblog

   May 7, 2013 at 12:50 pm

   Nimeweka link ya hii ishu na haya hapa ni matokeo ingia soma.Hakuna hata mmoja nilimtaja mie zote ni comments za watu mbalimbali walioingia kucomments.

  • Anonymous

   May 7, 2013 at 1:42 pm

   Jamani Dina nilishakwambia sio Raisi ni Rais, haina i mwisho kama unabisha kaulize baraza la kiswahili. si haba nawe umo kwenye list. poa .

  • Anonymous

   May 7, 2013 at 1:43 pm

   Dina achana na haters maana kuna binadam hta kwa mbeleko ya chuma hawabebeki

  • Anonymous

   May 7, 2013 at 3:25 pm

   wivu tu ulitaka akuweke wewe nawakati hawajakuchagua sa kampendelea nani hapo? sonyo

  • Anonymous

   May 7, 2013 at 3:29 pm

   Dina ingekuwa uwezo wangu wale wanaocomment kwa wakinafudenge wasije wakakuaribia blog maana hii siyo blog ya mipasho na uswahili kama walivyozoea tena washindwe na walegee waishie huko huko usiwakaribishe maana unavyowajibu vichwa vinakua vikubwa.

  • Anonymous

   May 10, 2013 at 10:58 am

   umeonaeeeeee

 5. Anonymous

  May 7, 2013 at 3:48 am

  I also like to meet Mange and You

 6. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:48 am

  Hallow Dina, nina wasiwasi na picha ya Bakhresa sio yeye, huyo ni mmoja wa watendaji wake.

  • dinamariesblog

   May 7, 2013 at 12:51 pm

   Nimeipata mahali ikiwa inaelezea profile ya maisha yake ikiwa na hiyo picha maana ni kazi kweli kupata picha yake.Yawezekana sio yeye?

  • Anonymous

   May 8, 2013 at 6:40 am

   Sijawai kuiona picha ya Bahkresa!mmmmmhhh!!! He is one of his kind!

  • Anonymous

   May 10, 2013 at 9:04 pm

   Ni yeye Dina. Mimi nshamuona kama mara tano hivi.

 7. Anonymous

  May 7, 2013 at 7:32 am

  Cant wait 2 see U,Mange n Wema!

 8. Anonymous

  May 7, 2013 at 8:23 am

  Huyo sio bakhresa ni mfanyakazi wake

  • Anonymous

   May 8, 2013 at 6:41 am

   Sorry ,so picha yake real inapatikana wapi? i mean wewe uliiona wapi? ili tumjue na sisi.

 9. Anonymous

  May 7, 2013 at 12:15 pm

  Cant wait 2meet Mange Kimambi!one of a kind.

 10. Anonymous

  May 7, 2013 at 12:28 pm

  Binadamu sio wema huyo Gelard Hando ni mnafiki,hii dunia tunapita tu tujitambue na tusiwafaidishe watu wengine kwa majasho yetu. Mpate huu ujumbe maana upo nae karibu.

  • Unknown

   May 7, 2013 at 4:11 pm

   acha unafiki Hando kakukosea nini…? fanya yako..acha umbea..oh mara Hando vile mara hivi fanya yako. Aksante dada Dina tuko pamoja sana. Piga kazi achana na hao masalia…anzisheni Radio yenu…kama mbaya mbona mnaskikiliza….? acheni unafiki.

  • Unknown

   May 7, 2013 at 4:12 pm

   nimependa wewe(Dina na Hando)

  • Anonymous

   May 10, 2013 at 11:02 am

   acheni ushamba waacheni watu waseme ya moyoni mwao mtu hawezi kumsemea mwenzake hivi hivi lazima kuna mabaya aliyo nayo…..

 11. Anonymous

  May 7, 2013 at 12:52 pm

  Mimi ningependa kukutana na wewe Dina pamoja na mange kimambi

 12. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:24 pm

  Dina i cnt wait to see you and wema… yani dina nikwambie hakuna mwema duniani asiyenyooshewa kidole… kuna watu wameumbwa kukosoa so in every hard situation you will ever fall into, or pass through just know wapo wanaokuombea heri and wish you the best always… siku nikikutana na wewe and just two of us ntafurahi sana… kwa upande wa wema its only kwamba she is a star lakini wapo wengi tu wasio julikana wanafanya machafu zaidi sema tu hawaonekani wala kuandikwa wala kufahamika… i rly admire that girl…

 13. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:27 pm

  sio bakhresa hayupo hvyoo si mnene hvyoo..nilimuona wkt mwanae alivyofariki sio kbs

 14. Anonymous

  May 7, 2013 at 5:11 pm

  Jamani Da Dina nae ni binadamu kukosea kwa kuandika herufi si kitu kibaya ili mradi umeelewa alichoandika basi,Mwaya sister Dina me nataka nionane na wewe plis plis plis….nina mengi sana ya kuongea na wewe nipo Iringa.

 15. Ruky

  May 7, 2013 at 6:00 pm

  Yap dina mange kimambi na wewe na makufuli. Jamani tukubali kwenye hii dunia hakuna mkamilifu tuache chuki zisizo na faida wala sababu.

  • Ald

   May 8, 2013 at 11:03 am

   Sio chuki bwana, kuwaona kukuletee faida, sio kukuharibia maisha. Mi nahisi Wema ataniharibia wadogo zangu na watoto wangu kwa tabia zake mbovu.Si unajua ma-binti wadogo huiga?Miaka 23 ameshatembea na wanaume 6, na anatangaza hovyo hovyo tu! Sasa umaarufu wake kwa mambo hayo una faida au hasara? Umaarufu wake haunisaidii…..Simpendi…………….

 16. Anonymous

  May 8, 2013 at 6:51 am

  Good Lowasa made to the list!

 17. Anonymous

  May 8, 2013 at 8:10 am

  Jamani me nimuone WEMA SEPETU nampenda huyu dada adi bac mungu amjali na wewe mumy dina napenda kukuona sana, me irene wa magomeni

 18. Anonymous

  May 8, 2013 at 9:40 am

  Mimi natamani sana kukutna na Millard Ayo Gerald Hando na wewe Dina

 19. Ald

  May 8, 2013 at 10:58 am

  nafikiri wa maana kuonana na hapo ni Barkhesa huenda nikapata mbinu za biashara japo ndogondogo, na hao wanasiasa tushauriane mabo ya msingi kwa faida ya umma. Sasa hao masista du (Wema na Mange) wa nini, kutwa kuzurura tu mijini, kuuza sura, kujichubua na kujisifia, hawatanifaidisha kitu…………..

  • Anonymous

   May 9, 2013 at 10:34 am

   MDAU INGEKUWA SIO WA MAANA WASINGEKUWEPO HAPA, KUMBUKA UWAONAO WEWE WA MAANA WENGINE HUWADHARAU KWA HIYO KILA MTU NI KIVYAKE MBONA WEWE HUJATOKEA HAPO, MAANA YAKE NI KWAMBA HUNA AKUJUAE. KAA KIMYA ACHA KILA MTU AFANYE KAZI YAKE.

  • Anonymous

   May 10, 2013 at 11:08 am

   well done Ald….umenena.

 20. Anonymous

  May 9, 2013 at 4:25 pm

  cant wait to see Janet Mwenda

 21. Anonymous

  May 10, 2013 at 9:08 pm

  Nampenda sana Shamim. Nafurahi yupo kwenye list yako. Team DM Blog & 8020 Blog!

 22. Anonymous

  May 11, 2013 at 6:30 am

  Wabongo kwa maneno mpo vizuri fanyeni yenu mwacheni dinna afanye yake au aanzisha blog uone kazi yake sio unaponda watu ili wakate tamaa big up mdada(I can't wait to meet Lowassa

 23. Anonymous

  May 14, 2013 at 5:08 pm

  me ningetamani kukutana na Dina Marios,Jonh Magufuli alafu pembeni awepo Hando.

 24. Anonymous

  May 17, 2013 at 9:28 pm

  Hodi, mie napita tu! Ila mie naona mtu kutoa sababu yakumchukia au kumpenda fulani ni sawa kabisa, waliko hapo si malaika

 25. Anonymous

  May 30, 2013 at 11:13 am

  Mmi natamani nionane na wewe Dina, Asharose, Milard na Nancy

Leave a Reply