Uncategorized

WATANZANIA TUNAOMBWA KUCHANGIA MICHANGO YA MAZISHI YA MSANII NGWEA!

By  | 
Leo wasanii mbalimbali wamesikika katika vituo kadhaa vya radio kuchangisha pesa za kukamilisha taratibu za mazishi ya Msanii Albert Mangwea.Pichani TID alipokuja kwenye pb ya clouds fm.
Shilole nae alikuwepo kwenye pb asubuhi ya leo
Kajala alikuja katika leo tena
Na hii ni taarifa iliyotolewa na kamati juu ya kinachoendelea katika mipango ya mazishi ya Ngwea.

Leave a Reply