Uncategorized

ASILABRIDES MAMBO YA MAKE UPS NA UREMBO

By  | 

Kama nilivyosema nitakuwa nikisapoti kazi za wasichana wanazofanya ili kujiongezea kipato.
Hizi ni kazi za msichana anaitwa Asila mkazi wa Magomeni  yeye ni make up artist kama unavyoona kazi yake.Anapamba maharusi,singo,akdi,kitchen party,send off,mitoko ya kwenye vishughuli mbali mbali.
Ukihitaji huduma yake mpigie kwa namba hii hapa chini.Contact/Mawasiliano: +255717616852

4 Comments

 1. Anonymous

  June 8, 2013 at 11:19 pm

  Big up dina, endelea kuwapa Moyo wanawake wenzio.Mungu akubariki na kukuongoza Ktk kazi zako.

 2. emu-three

  June 10, 2013 at 6:10 am

  Ninachoweza kusema ni BOMBA KABISA,safi saana

 3. Asila Bridal Package

  June 11, 2013 at 11:36 am

  Asante sana dada Dina,no words can explain how thankful I am,God bless u sana. Wasichana wenzangu kweli blog ya dina inasaidia saaana,na napokea simu za wateja wengi tu wakisema wameona tangazo kwenye hii blog.Shukran saaaana Dina Marios. Your Heart is unique,love u nyang'anyang'a…..

 4. penina

  February 14, 2014 at 9:55 am

  Sasa huyo mwenye gauni la blue mbona hayo madubwasha uliyopakwa yamezidi hadi kutisha

Leave a Reply