Uncategorized

HONGERA SHAMIM MWASHA KWA KUFUNGA NDOA.

By  | 
 Hongera sana Shamim blogger wa www.8020fashions.blogspot.com kwa kufunga ndoa.Sasa ni Mr. & Mrs.Abdul Nsembo.Mungu awatangulie katika maisha yenu yote ya ndoa.

11 Comments

 1. RUKY

  June 4, 2013 at 10:49 am

  MASHAAALA WALIPENDEZA

 2. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:07 pm

  ALHAMDULILAH MTOTO MASHALLAH

 3. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:07 pm

  JAMANI HIVI HUYO EVE COLLECTION ANADIZAINIA SHILINGI NGAPI NA SISI ATUPAMBE ! MAANA NAOGOPA ISIJEKUWA MAMILIONI DU !

 4. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:08 pm

  Watoto wao wazuri Jamani , Pendeza sana

 5. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:08 pm

  Ua lake zuriiiiii ajabu

 6. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:09 pm

  wanaendana wenyewe mwe !

 7. Anonymous

  June 4, 2013 at 2:09 pm

  I love Shamim so much , Nashukuru niliwahi kuonana nae na nikamwambia

 8. Anonymous

  June 5, 2013 at 6:32 am

  They look precious ,love you Shanon

 9. MOJAONE

  June 5, 2013 at 7:08 am

  UNATAKA NINI ZAIDI YA HII RAHA YA KUWA NA MWENZA.

 10. RODER

  June 5, 2013 at 9:30 am

  ASIYEMSIFIA ANA LAKE JAMBO..WAMEPENDEZA SANAAAAAA,,NMEPENDA RANGI,NITAIGA KWENYE HARUSI YANGU,,MUNGU NISAIDIE

 11. Anonymous

  June 5, 2013 at 4:33 pm

  wamependeza sana jamani hadi raha

Leave a Reply