Uncategorized

MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE.

By  | 
Katika vibwagizo vyake mwenyewe kuna kimoja alikuwa anasema jamani mume anaumaaaaa...sweety Jaffary Ally mtoto wa bagamoyo!
Kwa wapenzi wa nyimbo zake sio jina geni maana alikuwa akimtaja sana.Mumewe Khadija alifariki usiku wa kuamkia leo akiwa katika hospital ya Lugalo.Tatizo lililokuwa likimsumbua ni kubanwa na kukosa pumzi.
Wakati anafariki Bi Khadija alikuwa kwenye kazi zake za muziki  katika ziara ya makamu wa rais huko Rukwa.
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

13 Comments

 1. Anonymous

  June 6, 2013 at 12:41 pm

  Dina, kwanza nampa pole malkia wa mipasho kwa kuondokewa na ubavu wake Mungu awe mfariji wake ktk kipindi iki kigumu

  Pili naomba kujua kwani uyu ndo babake na Ommary Kopa?!
  Maana naona anaitwa Jafari sijaona jina la Kopa sasa hapo nashindwa kuelewa

  • Anonymous

   June 7, 2013 at 7:14 am

   ANONY 1
   WATANZANIA WENGI WATUMWA WA UNAFIKI YUNAMUHUSU NINI YOTE HAYO ?
   UKIONA MTU ANAJINA MAARUFU MOJA JUA NI JINA LA UKOO
   BABA WA OMARY UNAMTAKIA NINI NAWE UNGA UNDUGU KWA KHADIJA NDO UJUE UKOO NA WAUME ZAKE

   WE TOA POLE KAMA UNATAKA NENDA MSIBANI MWANANYAMALA.AU TANDALE KWA MAMA MZAZI DINA HAYUPO HAPA KUTANGAZA BABA ZA WATU AU MAJINA YA WATU KATOA TAARIFA YA MSIBA TU

   POLE KHADIJA

  • Anonymous

   June 7, 2013 at 9:15 am

   sio baba yako omar ila ni mumewe wameoana miaka ya karibuni na walikua wanapendana sana, niliwaona wamehojiwa kwenye kipindi cha sakina lyoka ng'aring'ri aisee very sad such a humble person gone too soon. R I P Jafari.

  • Anonymous

   June 8, 2013 at 7:55 pm

   Hold old is are they .mbona kama mama na baba

 2. emma kahere

  June 6, 2013 at 1:00 pm

  Duu inauma sana jaman tena sana,duu hadija alivyokuwa anampenda mumewe achen jaman,namapenz yao hayajadumu sana.kweli kifo hiki huku ha2japoa kwa mangwair kishamchukua mume wa khadija.,duu ndo mipango ya Mungu lakin

 3. Anonymous

  June 6, 2013 at 2:07 pm

  pole kwa Hadija,mume huyu alikua mume bora kwake . walipendana sana haina mfano. hatumlaumu Mungu ila bwana Jafari alikua faraja kwa Hadija.Marehem Omar Kopa alikua na babake huyu ni baba wa kambo lakini alikua zaidi ya baba.

  mimi Hatbah

 4. Anonymous

  June 7, 2013 at 7:07 am

  Dina nawe utaolewa lini umeanza kuzeeka jitahidi uolewe kabla umri kwenda naona kama huna maamuzi mazuri inaonekAna kuna mtu unampenda lkn ye hakupendi ushauri tu ni bora ukosee kujenga nyumba utabomoa lkn sio ndoa uLiyenae anakupotezea muda na uchumba wa muda mrefu co mzuri akitokea mtu wa kukuoa olewa dada

  • Anonymous

   June 7, 2013 at 12:11 pm

   wee nawe aliyekwambia ana shida ya kuolewa ni nani? wabongo bwana majanga tu, ndoa ni nzuri lakini sio mwisho wa maisha na kila kitu kinatokea kwa wakati wake. don't push dina to make your decisions.

  • Anonymous

   June 7, 2013 at 12:13 pm

   sasa hapa mambo ya kuolewa yanahusu nini jamani! kama huwezi toa pole kwa hadija si ukae kimya tu?

 5. Femmy.

  June 7, 2013 at 8:31 am

  Inalilah waina lilah rahiun daah aisee pole sana malkia. M/mungu ampe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu inshaallah may his soul rest in peace ameen..

 6. Anonymous

  June 7, 2013 at 9:17 am

  Pole sana Hadija. Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.R.I.P Jaffar

 7. Anonymous

  June 7, 2013 at 9:21 am

  Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

 8. MAMA K

  June 9, 2013 at 1:29 am

  mm jamani ni jana tu nilimcheki bi Khadija kwenye mikasi loo kumbe mungu ndio alikuwa anamchukua mume wake maana wakati mi nangalia nyie tayar mlishalala huko bongo, pole sana bi Khadija kwa msiba mkubwa huu , mungu akutue nguvu .mama k

Leave a Reply