Uncategorized

NINA MSHINDI MWINGINE WA DINNER WITH DINA

By  | 
Dear Dina,
 kwanza pole na majukumu
ya hapa na pale na pia hongera kwa kazi nzuri unazozifanya zikiwemo za kuelimisha,kutia moyo, kuwanyanyua watu especially dada wa kazi na kuwafanya wazipende
kazi zao, hongera kwa ubunifu wako pia na zaidi ya yote kwa kupata tuzo hiyo ya
“woman of the year” kutoka kwa Tanzania Women of Achievements.

 pili mimi nina miaka 22, na niseme ni no.1 fan wako bila wewe kujua, na nathubutu kusema
ivo kwasababu kila sehem ninapokua kama sikusikilizi basi ntakuangalia hadi
ofisin nimekua nikiwashawish wafanyakaz wenzangu tukusikilize na mtu yoyote
anaekusema kwa ubaya yaan naingilia kati utadhan nakufaham na tunaishi nyumba
moja maana jinsi navyokutetea na nilifurahi sana ulivyotolewa kwenye gazeti la
woman magazine km mwanamke wa mfano nilitumia hicho kitu kuwaringishia hapa
ofisin walikoma. 

  
Tukirudi kwenye mada,Blog yako binafsi naweza kusema imenisaidia vitu vikubwa viwil kwanza
kumheshim mama yangu na kuona thaman yake nakumbuka siku ya pili ya mama
duniani ulipost kuhusu mama yako roho iliniuma sana kwasababu mim nimekua mtoto
ninae mpenda sana baba na ku base sana kwa baba had inafikia kipindi namjib
mama vibaya lakin siku ile roho iliniuma nikasema mim nina mama naringa hivi
mwenzangu mama yake kaondoka tokea akiwa na miaka mitatu kweli simtendei haki
mama yangu huwez amin sasa hiv siwez kumjib mama vibaya, akiniagiza chochote
najitahid nifanye kwa wakat ili asikasirike najitahid kumwambia maneno mazuri
maana nilikua mtu wa kulalamika mama hunipendi, hunijali lakin nimeangalia
nyuma ni mama huyu huyu alikua na ujasiri wa kunisindikiza sa tisa za usiku
nikapande magari ya shule ( shule zilikua za vijijini) akiwa peke yake na
vingine vingi sana kavifanya kwajili yangu ambavyo sikuviangalia na as I’m
writting nahisi kabisa kama sikumtendea haki mzazi wangu huyu sihitaji kuhisi
uchungu wa uzazi ndo nianze kumheshim mama nimeshaanza na nakushukuru sana Da
Dina hujui tu lakin hilo funzo ni kubwa sana kuliko mengine yoote ambayo
nimejifunza kwako ni mengi mno lakin hili ni zaidi ntaionaje Mbingu mim kama
simheshim mama yangu asante mwaya.

pili nakumbuka
ulirecommend tuangalie movie ya Think like a man act like a lady,,, niliitafuta
ile movie despite the comedy nilipata fundisho kubwa la ku keep my standard
kama mwanamke nikaichukua ile 99 day rule na kujifunza vitu vingi tu kuomba
msamaha na kuwa mkweli na jinsi uongo unavyoharibu. Namshukuru Mungu ata kwenye
mahusiano najua jinsi ya kujilinda, nakua mkweli, najishusha na kila kitu
kinaenda vizur ata kama ni ugomvi hauchukui mda tunasolve thanx to u maana
kupitia blog yako niliitafuta kwa hali na mali na ikasaidia.
 Mumy nisikuchoshe na
maneno mengi Im always greatfull to you, na asante sana kwa funzo hasa hilo la
kwanza nikutakie kazi njema na endelea ku keep your standard,,,, 
all the best!

5 Comments

 1. Anonymous

  June 7, 2013 at 6:40 am

  dinna, am happy huyo dada kajieleza kuhusu mama, kiukweli mi pia ulinifundisha thamani ya mama japo mi sijawah kumjibu vibaya lakin ulinipa changamoto nikatafakari jinsi my mama anavyonijali niko ktk ndoa lakin bila my mama pengine ningesha achika mama is always there to confort me, to support me, kiukwel kama asingekuwepo sijui mi ningekuwa wap dina, umenifanya nimpende zaid maana asingekuwepo daa ktk huu ugum nlionao sijui nan angenisaidia. pia dina umenifanya nianze kufanya diet kwan ilifika time nikajiona nachukza but through your blog nikapata nguvu mpya ya kupunguza mwili, dina mi sihitaj kupata dinner na wewe ila nataka ujue wewe ni mtu muhim kwangu umenifundisha mengi, nakupenda nataman hata ungekuwa dadaangu pengine ungenisaidia mengi zaidi,i wish niwe mtu mzuri kama wewe, i love u dina.

 2. Anonymous

  June 7, 2013 at 6:49 am

  this is boring kweli dinna umeona hii ni kitu ya maana kweli. agrrrrrrrrrrrrrrrr

 3. Anonymous

  June 8, 2013 at 7:53 pm

  Take a nap

 4. Daudi Mnenegwa

  July 11, 2013 at 8:41 am

  fanya niwe mimi tu dada yangu

 5. Anonymous

  July 11, 2013 at 8:48 am

  na mim je niwemo

Leave a Reply