Uncategorized

TANGAZO LA HISANI:VIPODOZI ASILIA KUTOKA KWA EVELYNE

By  | 

Habari mami,asante kwa kuamua kutusaidia, mie ni mjasiriamali na
mfanyabiashara pia, nauza vipodozi vya asili,baadhi natengeneza mwenyewe
na baadhi nauza vinavyotengenezwa na wajasiriamali wenzangu hapa
Tanzania.Napingana na matumizi ya vipodozi yenye kemikali zinazoharibu
ngozi na pia napromote sana vipodozi vinavyotengenezwa hapa nchini
kwetu.

Mimi pia ni blogger,nina blog inayohusiana na bidhaa zangu
ninazouza dukan kwangu na pia nina blog ya mambo ya wajasiriamali na
pia ni muandaaji mkuu wa Kongamano na maonyesho ya wajasiriamali
liitwalo “Wajasiriamali Kumekucha”.Ntashukuru ukinisaidia kutangaza biashara yangu.Ubarikiwe.

*Naendeleza ahadi yangu ya kusaidia kupromote kazi za mabinti katika kujikwamua kimaisha.Natumai mtamuunga mkono!

10 Comments

 1. Anonymous

  June 26, 2013 at 10:20 am

  safi sana Dina

 2. Anonymous

  June 27, 2013 at 8:28 am

  Uyu dada evelyn hana roho nzuri sana anapenda kweli kuwasaidia wenzie pia watoke tofauti na wadada wengine unamuhuliza kitu akujibu anaona utampiku kibihashara sijui lakini uyu yupo tofauti sana…

  • Anonymous

   July 6, 2013 at 10:38 pm

   wewe lazima utakuwa evelyne mwenyewe. Ana roho gani nzuri? binafsi ninamjua vilivyo evelyne. Hayuko hvi ulivyomsifia.

 3. Anonymous

  June 27, 2013 at 10:09 am

  pamoja sana Evelyn.big up

 4. Anonymous

  June 27, 2013 at 8:41 pm

  Blog yako inaitwaje?

 5. Anonymous

  June 30, 2013 at 5:11 pm

  ndio maisha kusaidiana

 6. Dinafans..

  June 30, 2013 at 7:39 pm

  Dina kama umesha tuchoka wadau wako wa humu ndani kwa umaarufu uliyokuwa nao unaweza kutuambia tu tupunguze kuingia huku hata km upo busy ubusy gani wakushindwa kutuwekea chochote fans wako week nzima..tatixo wabongo mkisha kuwa maarufu mnapenda kujifanya mpo busy…au ndiyo unategemea laptop job?…umeniboa kwa kweli…all the best ktk umaarfu nahumu ndani wala sirudi tena nimechoka kukuvumilia..

 7. Anonymous

  July 1, 2013 at 1:39 pm

  yeah dina huyu dada na mkubali anaposema vya asili ni hasili haswa na havina madhara kabisa kwani produt zake nimeshatumia sn maana dukani kwake ni sinza mapambano

 8. Dadaa William

  July 2, 2013 at 2:34 pm

  Products zake ni za ukweli na mimi ni mtumiaji mzuri wa hizo products, hongera sana Evelyne kwa ujasiriamali

 9. JOFREY GAPI GAPI

  September 1, 2013 at 3:34 am

  Ongela sana dada!

Leave a Reply