Uncategorized

BENIN,NCHI YA AFRIKA INAYOONGOZA KUZALIWA WATOTO WENGI MAPACHA!

By  | 
Kulifanyika utafiti Kutoka mwaka 1987 mpaka 2010 uliobainisha kuwa Benin ndio nchi inayoongoza kwa kuzaliwa watoto mapacha.
Katika watoto 1000 wanaozaliwa asilimia 27.9 ni mapacha sawa na watoto 370.

3 Comments

 1. Anonymous

  July 12, 2013 at 7:23 am

  wamefanana sana huwezi tofautisha

 2. esther nyalusi

  July 12, 2013 at 12:35 pm

  Ningezaliwa huko ningekuwa na pacha wangu navyopenda mapacha mungu anijalie nipate

 3. Anonymous

  July 14, 2013 at 2:38 am

  asia nafikiri ni india

Leave a Reply