Uncategorized

KWA AKINA BABA MNAOLEA WATOTO WENU WA KIUME…

By  | 
Sometimes naweza kuona picha lakini kwangu ikazungumza mengi sana.
Picha hii ina ujumbe maridhawa kwa akina baba,sijui mmeuelewa?

5 Comments

 1. Anonymous

  July 22, 2013 at 9:57 am

  mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!

 2. Anonymous

  July 25, 2013 at 7:05 am

  Mmmh!Dina,sijui kama kwa hapa kwetu Tz kuna baba anayeweza kumlea mtoto na baadae mtoto amlee baba,kwa jinsi tulivyozoea mama alee mtoto badae mtoto ndio amlee baba

 3. gosbety

  July 25, 2013 at 8:31 am

  Nimeielewa sana da Dina. What i can see out there is love( Father and son Love). Baba kamlea na kumtunza mtoto wake vizuri na matokeo yake mtoto anakuja kuwa msaada kwa baba yake. Huyo dogo wa picha ya kwanza ndiyo huyo aliyeshika mpira akiwa na baba yako! quiet fascinating!

 4. Peggy Bendi

  July 30, 2013 at 10:40 am

  paka nalia, maana inaleta raha kuona mtoto wako anakurudishia upendo uliye mpe angali mdogo! very nice

 5. cyber saiba

  August 13, 2013 at 2:21 pm

  Hapa mimi kwa mtazamo wangu naona kama vile huyo baba ametambua kipaji cha mwanae ndio maana anamdairect ili aweze kukua nacho.

Leave a Reply