Uncategorized

RAMADHAN KAREEM!

By  | 
Kila la heri kwa ndugu zangu waislam katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani!

5 Comments

 1. Anonymous

  July 10, 2013 at 2:19 pm

  amini na wewe dina. insha allah ujaribu kufunga coz una moyo wa kiislam kwakweli-

 2. Anonymous

  July 10, 2013 at 6:34 pm

  AHSANTE DINA. NA WEWE PIA

 3. Anonymous

  July 11, 2013 at 6:06 am

  Asante dear. I ve never comment in your blog but 2day u ve inspired me. Unaishi maisha yako kwa kubalance though u not a muslim but umeona umuhimu wa kuwatakia Waislam Ramadhan Kareem. Keep it up na usijiingize kwenye mabifu ya watu even if yanawahusu waajiri wako be yourself who knows utakuwa nani kesho with or withour your current job. Ni hayo tu.

 4. Anonymous

  July 11, 2013 at 11:38 am

  asante na wewe uje ujaribu kufunga hata siku moja dina uonje ramadhani inavyokuwa

 5. Anonymous

  July 11, 2013 at 3:32 pm

  comment No.1 amepokea salamu lakini cha ajabu ameongeza na kumwambia Dina ana moyo wa Kiislam. Je, kwani moyo wa kiislam ukoje? Na inapofika xmas au pasaka mwislam asimomtakia kheri mkristo anakuwa na moyo wa nini? I need answers.

Leave a Reply