Uncategorized

SOMA UJUMBE HUU

By  | 
 Ujumbe huu aliachiwa waiter na mtu aliyemuhudumia huku ukiwa umeambatana na tip baada ya huduma nzuri aliyoitoa kwa mwandishi wa ujumbe huu.
Ujumbe upo kwa kienglish tunaweza kutafsiri pamoja ila umejifunza nini!?

6 Comments

 1. Anonymous

  July 11, 2013 at 12:28 pm

  KUSEMA UKWELI NI UGONJWA UNAOWATESA WENGI HASA KWENYE KUMKUBALI MTU KWA KUTENDA JAMBO ZURI,SIO HULKA YA WENGI.NI BAHATI KUKUTA NA WACHACHE KAMA HAWA,

 2. Anonymous

  July 11, 2013 at 1:43 pm

  NIMEJIFUNZA KUWA MWEMA NA MKARIMU KWA KILA MTU HATA USIYEMFAHAMU.

 3. Gina

  July 12, 2013 at 9:09 am

  It's good to be kind and be able to treat people well even those we do not know completely.Wengi wetu tunafanya wema for GOOD IMPRESSION(kwasababu tunawafahamu/Wanatufahamu) .The truth is kindness should be from the heart without expecting anything in return.

 4. esther nyalusi

  July 12, 2013 at 12:26 pm

  Ni watu wachache sana wanao weza kushukuru,ukarimu ndicho kitu watu wengi tumekosa.nimejufunza kuwa mkarimu na kushukuru kwa kila jema nitendewalo hâta liwe dogo kiasi gani

 5. sunday komu

  July 14, 2013 at 1:28 pm

  cjatoka bure nmejifunza ki2!

 6. Anonymous

  July 16, 2013 at 10:49 am

  Ujumbe huu unawatia moyo wale wote wanaotoa huduma… kwa mfano wahudumu wa bar. Ni mara nyingi nakerwa sana na tabia mbaya ya wateja wanaofika bar na kuwadhalilisha wahudumu kwa maneno yao machafu na hata wakati mwingine kwa matendo pia. Kile najiuliza kila siku ni kwamba kama mtu una hela na unaamini umekamilika basi wewe unapofika bar kaa kwa kiti na uiambie hela yako ikuletee kinywaji.. la kama tunahitaji mtu mwingine kutuhudumia hatuna budi kuthamini huduma tunayopewa na tuelewe kuwa bar ni ofisi ya mwenzako ni kama ofisi nyinginezo. Ujumbe huu urekebishe tabia za namna hii na utukumbushe kushukuru daima, hata kama huduma umeilipia pesa.

Leave a Reply