Uncategorized

TEMPTATION,MOVIE MPYA YA TAYLER PERRY…

By  | 
Taylor Perry mkali wa movies kama Good Deeds,diary of mad black woman,madea big family reunion,madea goes to jail,madea got a job,for colored girls,why did i got married,i can do bad all by my self n.k
Sasa mwaka huu ameufungua na bonge la movie TEMPTATION
Filamu hiyo imekutanisha mastar kadhaa unaowaona pichani
Filamu hii inamuongelea mwanamke ambae amekuwa katika mahusiano na mumewe toka wadogo.Walipofika umri wa kuoana wakaoana na kuishi maisha mazuri ya furaha na amani ndani ya ndoa.Uhusika huu anauvaa   anaetumia jiana la Judith.Mume wa Judith ni Lance Gross hapa katumia jina la Brice.
Judith ni therapist anaefanya kazi katika kampuni ya matchmaking inayomilikiwa na Vanessa Williams.Pamoja na maisha mazuri ya ndoa bado wana changamoto nyingi yeye mwenyewe anatamani kufungua kampuni yake mwenyewe ya cancelling lakini mumewe anamwambia asubiri mpaka akiwa financially stable.
TEMPTATION inakuja baada ya Judith kukutana kikazi na Harley (Robbie Jones).Kijana mtanashati mwenye pesa mjasiriamali aliyekuwa akitaka kuwekeza katika kampuni anayofanya kazi judith.Judith anajiingiza katika mahusiano hayo ambayo mwisho wake anavuna gonjwa la ukimwi.
Judith akajiona kazaliwa upya katika mapenzi,hasikiii mtu si mama mzazi wala mumewe.Bila kujua kumbe Harley alikuwa ameathirika ana virusi vya ukimwi.
Sehemu ya picha zilizopo katika filamu hiyo.
Siwezi kusimulia filamu yote ila inaonyeshwa century cinema mlimani city na imetoka mwezi wa tatu mwaka huu.Baadae nafikiri dvd ndio zitaonekana mtaani ila ukifanikiwa kuiona usiache kununua.Inaburudisha na kufundisha pia.
Baadae Judith alikuja kuwa mshauri wa masuala ya ndoa,ambae alikuwa akitumia hadithi ya maisha yake kuwaweka sawa wanandoa.

5 Comments

 1. Anonymous

  July 2, 2013 at 4:07 am

  lazm niitafute maana mm nakubali sana movie unazocheki

 2. Anonymous

  July 2, 2013 at 10:04 am

  dina na[enda sana move unazoangalia na nikakuomba kama unasoft copy unimie kwa emeil yangu mlawahabia@yahoo.co.uk najua ni ngumu lkn nahitaji msaada wako na mi nienjoy huku mkoani maana huku sisi hatuzipati dina

 3. Anonymous

  July 2, 2013 at 10:59 am

  ukitaka kuidownload full name ni 'temptation confessions of a marriage counsellor 2013'

  @KAKA YENU

 4. Anonymous

  July 22, 2013 at 10:51 am

  Daah Movie nzuri sana hii huruma kwakwe Juliet

 5. Dinna kaiza

  July 29, 2013 at 8:22 pm

  mmmmh hiyo muvi nimeiona kiukweli inafunza sana wakati mwingine watu tunaweza kuwa tempted kwa kitu kidogo sana lakini at the end unakuta akiwezi kutuletea the real meaning of life.
  what i have learned is that temptation always come and go but LIFE only comes once and when it is gone there is no where we can find it.

Leave a Reply