Uncategorized

UNAWEZA KUJITOA KIASI HIKI KWA MWINGINE?

By  | 
Picha hii ilipigwa Rio de Janeiro Brazil.Mpiga picha alimpiga huyu baba wakati akivua viatu vyake na kumpa binti ambae ni mtoto wa mtaani.Binti huyo alikuwa akitembea peku.
Je tunaweza kujitoa kiasi hiki kwa wengine?!
Ungana nami katika kuchangia vituo vitatu vya watoto yatima kupata mahitaji yao mbali mbali.Kutoa ni moyo wala si utajiri.

6 Comments

 1. Anonymous

  July 11, 2013 at 12:26 pm

  Ni wachache sana ambao tunaweza kujitoa kama mimi hivi naweza

 2. Anonymous

  July 11, 2013 at 1:39 pm

  Ni ngumu sana kukutana na watu wa hivi ingawa ni wapo hasa wale wenye kufuata mafunzo ya dini na kuyafanyia kazi. maana God's love can do anything possible, as we follow what he told us, TO LOVE EACH OTHER THIS TOO CAN BE POSSIBLE and that is divine love. Let Love Lead…..

 3. Anonymous

  July 12, 2013 at 6:00 am

  Am so touched! sio kila mtu ni fisi,bado kuna watu wenye utu. Giving and not expecting ANYTHING in return.

 4. esther nyalusi

  July 12, 2013 at 12:31 pm

  Kwa kweli ni vigumu kumpaata kumpata mtu mwenye moto Kama huo na Kama wapi basi ni wachache,tupo pamoja

 5. Anonymous

  July 12, 2013 at 1:25 pm

  Kutoa ni moyo,,wapo wanaotoa hata zaid ya hapo

 6. Dinna kaiza

  July 23, 2013 at 8:27 am

  The things we have like money, education and other staffs like that can not make our life complete. someday sometime u may find out that u lack something which is HAPPINESS.no one love to be lonely regardless you are poor or rich, the life of giving can change everything.
  there are some people who do not even want us to give them money or clothes but our attention and care, they are just seeking for the protection. tunao wengi Tanzania ila bado watu hawajui watoe nini kwa watu aina hii. tunadhani shida ya watu wengi ni chakula, nguo na mavazi ila tujue kuna watu wanavyo vyote ila bado wanajiona hawajakamilika.tuna kizazi ambacho hakijawahi kuonja upendo si ktk familia tu hata kijamii it seems no body cares. mimi huwa naumia sana ninapoenda ktk vituo vya kulea watoto najiuliza ni familia ngapi zina uwezo wa kutunza hata watoto hata wawili lakini hatuwazi kitu kama hicho Tanzania inaiitaji akina Anjelina Jolie wa kutosha ili kumaliza tatizo la watu wenye huitaji. upendo unaonyeshwa kwa njia nying sana natamani watanzania wote wangeona umuhimu wa kuwa na kizazi kinachojali na kujitoa kwa ajili ya watu wengine without expecting something in return.

Leave a Reply