Uncategorized

DADA DINA CARES ILIPOWASILISHA MAHITAJI MBALIMBALI YA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA SIFA HUKO BUNJU.

By  | 
 Ilikuwa jumamosi ya tarehe 3 august juzi hiyo…safari ikianza kuelekea Bunju.
 Pamoja na mahitaji mengi tuliyowapelekea njiani tulinunua mboga kama kabichi,viazi ulaya,nyanya na vitunguu tukawachukulia pia.Niliongozana na wasikilizaji wangu Halima Temu,Da Joyce,mama wawili,Daud wa kota na rafiki yangu Jasmin.

Tumeshafika tunashusha vitu…Yasmin akishusha mizigo

 Daudi wa kota akishow love kwa watoto
 Zoezi la kupakua mizigo
 Jasmin na watoto
 Da Sifa alitukaribisha wageni na kutupa utambulisho wa watoto kadhaa anaoishi nao hapo kituoni.
Zoezi lilienda vizuri sanaaaa kubwa ni lengo kutimia na lilitimia kwa siku hiyo kukabidhi vitu vyote tulivyoandaa kwa ajili ya kituo hiki.Nguo,chakula,vifaa vya shule,mafuta ya kupikia,mafuta ya kujipaka,sabuni za kufulia miche na za unga n.k
Nitarudi tena kuchangisha pesa ya yeye kununua kiwanja cha kujenga kituo chake maana mazingira wanayoishi watoto hapo sijayapenda.Kama hili limewezekana hakuna litakaloshindikana.

4 Comments

 1. Anonymous

  August 6, 2013 at 5:04 pm

  umependeza da dina,endelea na moyo huohuo watoto wamefurahi sana na ndipo utaona baraka,barikiwa sana
  samira mwanza

 2. ABDULMALIK FUNDIKIRA

  August 7, 2013 at 8:41 am

  WELL DONE DINA.. I LIKE THE SPIRIT

 3. teressa simon

  August 7, 2013 at 9:42 am

  Yote unayoyafanya yamepangwa toka unazaliwa Dina,Mungu ayatimize yote aliyokujaalia ili uyakamilishe kwa kadri ya uwezo wake.UBarikiwe sanasana.

 4. Anonymous

  August 8, 2013 at 7:42 am

  I think dina You are really making a difference what a great job .Big UP!!!!!!!

Leave a Reply