Uncategorized

PARTY YA WATOTO NA DADA DINA CARES NI BALAAA

By  | 
PARTY:Watoto yatima wa sifa bunju,zaidia sinza,vetenari temeke na watoto mbali mbali walioletwa na wazazi wao.
MAHALI;kwenye fukwe ya Azura fitness centre Kawe
MUANDAAJI;Dada Dina Cares
MUDA:Saa tano asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni
 Watoto walifatwa vituoni mwao na basi maalum kutoka prime time promotion mpaka Azura.Walipofika wakakuta michezo mbalimbali iliyoandaliwa kwa ajili yao ikiwasubiri.
 Regina Mwalekwa kutoka clouds fm alikuwepo na alicheza na watoto.Pia kupiga picha kwa ajili ya www.kegajo.blogspot.com
 wakigonga wenyewe sijui walifurahishana nini
 Kijana akipiga dana dana….hakuwa mwenyewe…
 Alikuwa na Janet Sostenes wa Ongea na Janet..nimewapendaje
 Wale wanaopenda maji waliogelea kwenye swimming pool
 Tuliwawekea mipira ya kuelea maana siwote wanaoweza kuogelea
 Watu wa kuwasimamia walikuwepo
 Maclown wa Kidz Event wakiwachezesha watoto
 Face painting
 Mambo ya kuslide
Picha zaidi zinakuja

9 Comments

 1. Anonymous

  August 13, 2013 at 7:11 am

  hongera dina umebarikiwa na utabarikiwa kwa hili mama,nilitamani niwepo ila nilishindwa next time tutakuwa pamojaaaa.mapenziii teleeeeeeeee

 2. esther nyalusi

  August 13, 2013 at 11:48 am

  Hongera na mungu akuzidishie

 3. Anonymous

  August 13, 2013 at 2:35 pm

  Hongera Da Dina!

 4. ney

  August 14, 2013 at 8:02 am

  hongera dinna.bt nina swali umekuaje usoni mbna kama umejiachia sana mumekua mzee una mimba? stress? or ni nini

 5. Anonymous

  August 14, 2013 at 2:38 pm

  Wewe ni mwanamke wa kuigwa sana. Unathubutu, unajaribu na unafanya pia na matunda yanaonekana. I rl lv u. Blessing

 6. Anonymous

  August 15, 2013 at 12:16 pm

  HELP:out of topic wapendwa please dina topic ya yule dada anaejua dawa ya kuwafanya watt wale please

 7. Anonymous

  August 16, 2013 at 12:54 pm

  Mungu akubariki love yu dina

 8. EDINA-MIKAELA JOHNSEN

  August 19, 2013 at 6:23 pm

  Dina my dear hata sijui nisemeje kwa moyo wako jamani.Ni mungu tu ndiye atakayekulipia haya yote.You are a blessing ndugu yangu.
  Jamani hawa watoto wamefurahi hadi machozi yamenilenga.
  Halafu Dina na hako katoto kakiume hapo chini ya picha uliyoandika"watu wakuwasimamia walikuwepo“ na kenyewe ni orphan au?Hako ka kiume kalikosimama mbele ya hako kabinti kalikovaa njano.Hako kanakoshangaa kameacha mdomo wazi.
  Sijui kwanini nimelia nilivyokaona,bado kadogo sana maskini,natamani nikakachukue nikakumbatie.

 9. Anonymous

  August 23, 2013 at 11:20 am

  KIPINDI BILA WIMBO WA SHILOLE HAKISIKIKI HEWANI?

Leave a Reply to Anonymous Cancel reply