Uncategorized

WAPENZI WA MOVIES:BETTY & CORETTA

By  | 
 
Movie hii inawahusu mke wa Malcom X na Dr. Martin Luther King jr.Namna walivyowasapoti waume zao katika harakati zao.Namna walivyoteseka na watoto wakipata vitisho vya kuuwawa.Namna walivyoteseka baada ya waume zao kuuwawa.Kusimamisha familia,wao wenyewe maisha yao kwenda mbele.Betty na Coretta walikuja kuungana baada ya waume zao kuuwawa.Wakawa kama mtu na dada yake kwa kupeana moyo,sapoti na kusimamia yale waume zao waliyoyapigania.Coretta alivyopambana mpaka kuanzishwa kwa siku ya kumbukumbu ya mumewe Martin Luther King jr kwa wamarekani weusi.
Nafasi ya Betty mke wa Malcom X imechezwa na mwanamuziki Mary J na nafasi ya Coretta imechezwa na mkongwa Angela Bassett.

Picha za yaliyomo katika hiyo movie.

Leave a Reply