Uncategorized

WAPENZI WA MOVIE:STEEL MAGNOLIAS

By  | 

Waigizaji

Queen Latifah
Alfre Woodard
Phylicia Rashād
Jill Scott
Adepero Oduye
Condola Rashad
Nina wiki kadhaa sijapost kitu ila post yangu ya kwanza inakuja kwa wale wafatiliaji wa filamu za kimarekani kama mie.Hii wameshiriki waigizaji wa kubwa wale weusi kama bado kuiona itafute na wewe utazame.Kama umeshaiona twende sawa.
Filamu hii inaonyesha jinsi wanawake kadhaa marafiki wanavyopeana sapoti katika nyakati mbali mbali za raha na shida.
Namna mama anavyoweza kujitoa kuokoa maisha ya mtoto wake katika maradhi.Imeongelea hasa katika familia panapokuwa na mtoto mgonjwa tena yale magonjwa sugu ya kisukari na figo.Katika hali hii mama anakuwa muda wote ni mtu wa wasiwasi na kuhakikisha mtoto wake anaishi.

Ni filamu ya huzuni kidogo hasa familia inapompoteza mtoto ambae wamehangaika nae maisha yao yote kuhakikisha anaishi.Mama alishatoa mpaka figo lakini baadae binti yake anakuja kufariki.

15 Comments

 1. Anonymous

  August 27, 2013 at 4:13 am

  nilishawahi iona movie hii ni nzuri kwa kweli tena nzuri sana

 2. Anonymous

  August 28, 2013 at 1:38 pm

  nimeiangalia hii movie nimeliaje mwishoni its sooooo hard and tough seeing your daughter dying infront of your eyes tena kuaprove machine izime ni nzuri sana hii movie dinah

 3. Anonymous

  August 29, 2013 at 6:45 am

  unachosha maana huna jipya, siku hizi umeishiwa kabisa.

  • Anonymous

   December 8, 2014 at 12:21 pm

   kwani umetumwa kuingia huku acha ufala

 4. Anonymous

  August 29, 2013 at 10:21 am

  DINNA MTOTO WAKO MTARAJIWA NI WAKIUME AU WAKIKE

 5. Anonymous

  August 29, 2013 at 1:31 pm

  Thank you Dina, mi napenda sana movie za blacks America. Will check on this one

 6. Anonymous

  August 30, 2013 at 2:27 pm

  DAH NAMKUBALI SANA QUEEN LATIFAH.. ..AF DINA USIWE UNAPOTEA SANA HUMU MPENZ…

 7. Anonymous

  August 31, 2013 at 5:24 pm

  dah poa ngoja tuitafute….

 8. Anonymous

  September 1, 2013 at 10:46 am

  asanteee ntaitafta

 9. Anonymous

  September 5, 2013 at 12:40 am

  sasa hii movie ipo ya original yake ya kizungu yumo Julia Roberts, Dolly parton etc… julia ndo sherlby

 10. Anonymous

  September 8, 2013 at 9:11 am

  DINA NIMEITAFUTA HII MPAKA NIKAIPATA NINZURI INASIKITISHA INAFUNDISHA.. CHEKI NYINGI UTUWEKEE HAPA TUZITAFUTE ZA MWANZO ZOTE NLIZIONA UMENIFANYA NIPENDE MOVIE ZA BLACK AMERICA.

 11. Anonymous

  September 8, 2013 at 9:18 am

  DINA MI MPK LEO SIELEWI HUKO KUFURA KWAKO YANI GAFLA KM UMEPULIZWA ILA KWA KUWA MVIVU HIVI KUUPDATE NAEZA AMINI NI MIMBA ANYWAYS HONGERA ILA JITAIDI KUPUNGUA HATA KM UNA MIMBA YANI KULA HEALTHY LA HASHA ITAKUWA KAZI SN SN KUKATA MWILI BAADA YA KUJIFUNGUA . YANI KM VILE WANAVOSEMA MTOTO MMOJA TU MVUTO KWISHNEY

  • Anonymous

   September 21, 2013 at 1:35 am

   We mwanamke kuna siku dina alikuomba pesa ya chakula? Wacha maneno kafura yy ni chura? Halaf mwili wake kunenepa kwake na nina uhakika unajua dina anavyojaribu kupungua ww kinakuwasha nini? Embu kwendauko umenikira fala ww.

 12. Anonymous

  September 13, 2013 at 8:51 am

  DINA SIKU HIZI UNANIBOA SANA, MAANA MIMI KILA SIKU LAZIMA NIFUNGUE BLOG YAKO SASA NINAPOKUTA WIKI NZIMA HAKUNA JIPYA KILA NIKIFUNGUA NAKUTANA NA HABARI ILIYOPOST WIKI MBILI ZILIZOPITA, YAANI INABOA SANA. PLEASE NAOMBA UPDATE ANGALAO HATA MARA MBILI KWA WIKI KWANI UMESHATUZOWESHA.

 13. lily Z

  September 25, 2013 at 12:49 pm

  jamani watu mna roho mbayaa hivi unaezaje kumsakama mtu namna hiii kisa tu haja update blog !huwezi kuongea kwa busara mpka umponde na private life yake jamanii!!hebu mwacheni dada wa watu awe na mimba asiwe na mimba ku update blog atafanya anapokua na muda ilaa llohh mnavoandika maneno makali hivo mjue iko adhabu mbeleni maana mdada wa watu kimya kamwachia Mungu ngoja Mungu mwenyewe aanzae kushugulika na nyinyi ndo mtakapo juta,kujitaftia laana bila sababuu alahh!!

Leave a Reply