Uncategorized

ASILA…NEW MAKE UP ARTIST IN TOWN

By  | 
Anaitwa Asila nilikutana nae kwenye kitchen party gala mwaka huu  akajitambulisha kwangu na kuomba namba ya simu.
 Jumatatu yake tukawa na mazungumzo baada ya kunifuata ofisini.Asila aliniambia yeye ni make up artist lakini bado mchanga na angependa watanzania wengi wasichana na wanawake kwa ujumla kumtambua.Ana uwezo wa kupamba kwa shughuli zozote na bado anaendelea kujifunza kila siku.Nilishawahi kuweka kazi yake hapa na hizi ni baadhi ya picha za kazi zake mpya alizofanya hivi karibuni.
 Kama unavyoona before and after
 Before and after
 Before
 After
 Before
After
Muigizaji Jackline Wolper hufanyiwa make up na Asila kila anapokwenda kwenye events mbalimbali na matukio mengine.
Kama utahitaji huduma yake mpigie kwa simu namba 0717616852
Naamini ana nafasi nzuri katika soko la urembo hapa nchini.

26 Comments

 1. Anonymous

  September 24, 2013 at 5:16 pm

  jaaaaaamani,this lady is amazingly talented….am shocked

 2. Pretty

  September 24, 2013 at 6:40 pm

  Jamani si mchezo Mungu azidi kumbariki kwa kazi ya mikono yake yaani she is more than talented…Dina ths is out of da topic natafuta blog 1 ya M3 zamani nilikuwa naipata through wewe kabla hujaibadilisha pls help me.

 3. Anonymous

  September 24, 2013 at 8:31 pm

  si mchezo,walivopendeza, kupita maelezo,

 4. Ruky

  September 24, 2013 at 9:14 pm

  Jamani huyu dada wawooooo hongera zake hili swala la mek-up bado linasumbua sana watu hata huku ughaibuni..

 5. Anonymous

  September 25, 2013 at 6:27 am

  mungu ambariki kwa kazi yake nzuri, kwani anaweza sana, mola muongoze aendelee mbele.

 6. Anonymous

  September 25, 2013 at 6:46 am

  anajitahd kwa kweli lool stunning!

 7. Anonymous

  September 25, 2013 at 6:52 am

  by the way dada dina siku hiz mbn kmy sana ktk blogs hii hasa upande wa mamovie maana mi napendaga unatupaga movie up todate yani mm nyumbn kwangu kumejaa movie kwa ajili yko unatupiaga ,movie nzuri sana na zenye mafunzi plizzz ukiptg kajinafasi tupiaga na movie zingine jmn

 8. Anonymous

  September 25, 2013 at 8:52 am

  aisee mdada yuko vizuri. Mungu azidi kumbariki kwa kazi ya mikono yake

 9. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:16 am

  wal si anajifunza she is perfectly good. nimependa kazi yake

 10. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:20 am

  Kwa kweli nimemkubali Asila!

 11. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:26 am

  Dah dada yuko vizuri sio mchanga kwa kweli ni amewiva kabisa kwa kazi yake nzuri.Safi sana mambo ya kujaza make up usoni yamepitwa na wakati, na jicho linawekwa rangi kama rainbow inahuu. Waige kwa Asila hapa dah nimependa.

 12. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:38 am

  Asante sana Dina. wewe ni wa pekee sana kulinganisha na mabloger wengine wadada wa hapa mjini, blog yako inainua wanawake kiukweli kabisa na unamoyo kweli wa upendo wa kuelimisha na kusaidia wanawake wenzio. kiukweli huyu dada anajua sana kupamba, maharusi wote wanaopambwa na Asila hakuna anayechukiza, nilikuwa natamani siku nyingi sana walau nipate tu namba yake ili name niwe naenda huko, sikujua hata nitaipata wapi, kweli leo umenikuna Dina. mungu akubariki sana, na blog yako idumu milele, haina majungu wala masufuria ni full misaada kwetu, wadada mabloger hebu igeni huku.

 13. Pretty

  September 25, 2013 at 9:40 am

  Thanks Dina ilikuwa ya hadithi hadithi hivi alikuwa anajiita M3 sasa sikumbuki inaitwaje coz me nilikuwa naingia kupitia kwako wale FELLOW BLOGGERS unaowaweka pembeni bt ilikuwa before hujaibadilisha mfumo wa hii blog yako baada ya kuibadilisha muundo sioni tena na sijui naingiaje kumpata nimehangaika sana pls i need ur help Mamy wangu.

 14. Anonymous

  September 25, 2013 at 10:08 am

  Pure Dazzling! jamani make up inafanya mtu awe mzuriiiii! good job maa.

 15. Anonymous

  September 26, 2013 at 7:43 am

  nimemvulia kofia kuna harusi moja bi Harusi alikuwa kituko kwa make up aliyopakwa ni tofauti kabisa na rangi yake sasa ona hao wadada walivyopendeza hadi raha.

 16. Anonymous

  September 26, 2013 at 9:59 am

  Huyu dada yuko vizuri….atafika mbali sana

 17. Anonymous

  September 26, 2013 at 3:07 pm

  Duh mdada upo juu kazi yako nzuri sana

 18. Anonymous

  September 26, 2013 at 3:21 pm

  Welcome back my dear. Binafsi nilikumiss sana. Whatever it is you were going through, I hope our good Lord has taken/ is taking care of it. Christine

 19. sarafina

  September 26, 2013 at 5:08 pm

  hapana chezeya watu na maujuzi yao, good job.

 20. Anonymous

  September 26, 2013 at 8:50 pm

  Ama kwel hyu dada Asila nmemvulia kofia,yan anakutoa mtu ng'aring'ari hadi unajipenda mwenyewe…ntafurah na mm big day yngu akiningarisha

 21. Anonymous

  September 30, 2013 at 1:07 pm

  big up Asila kwa kazi nzuri sanaa. mshukuru mungu kwa kazi ya mikono yako

 22. Anonymous

  October 2, 2013 at 9:54 am

  Honge asila mungu akuongoze katika kazi ya mikono yako

 23. Anonymous

  October 7, 2013 at 12:22 pm

  asila ametisheeeer! nimechukua no siku nikiwa na shughuli nikupigie uje unipambie kwangu

 24. Anonymous

  October 31, 2013 at 6:12 pm

  Duuhh huyu dada anaweza, kazi yake ni nzuri kwa kweli sema tu watu wa mjini wakishacrem sehemu yenye jina huwambii kitu, jamani watu tubadilike tuwe tunajaribu vitu tofauti

Leave a Reply