Uncategorized

BEI YA PEDI YA GLORY GIRL(PEDI ZINAZOTENGENEZWA KWA MKAA WA MUANZI)

By  | 
 Pedi hizi zinapatiakana madukani kwa Tsh 5,000 tu.Ni pedi zilizotengenezwa ili kuendana na afya ya mwanamke na changamoto anazokabiliana nazo wakati wa hedhi.
Naomba tuwe na utaratibu wa kusoma maelezo kwa makini.Ni mara kibao naweka maelezo ya kitu mpaka namba za simu halafu mdau anauliza namba ya simu ataipata wapi?au zinapatikana wapi wakati nakuwa tayari nimeweka wazi kila kitu.Sio kwa haya tu pls tujitahidi popote pale kusoma maelezo kwa kina maana unaweza kuwa unauliza maswali kumbe majibu yapo hapo hapo.Nakukumbusha tu maana kupitiwa kupo labda kichwa kina mambo mengi.
Namba ya Yasinta 0714943635.
 
ZINAKOPATIKANA
Pad
za glory zinapatikana Uchumi supermarket, TSN supermarkets, Engine Supermarket,
Imalaseko supermarket, Puma supermarket-Mwenge, A to Zs supermarket, Aljazira
Supermarket, Minangu Min supermarket,
New Ubungo pharmacy, Nakiete Pharmacy, 24/7 pharmacy-Mwenge, Lifeline
pharmacy-Muhimbili, Curare Pharmacy- Muhimbili, Afrinet Pharmacy, Masonga
pharmacy, Victoria Pharmacy, Kibo Pharm
Maduka ya dawa ya jumla
zinapatikana:

Philips Distributors,
Mishangu pharmacy, Boston Pharmacx, Bahacy-Moshi

ari Pharmacy, Core PharMacy, Ali
pharmaceuticals

6 Comments

 1. Anonymous

  September 28, 2013 at 4:47 pm

  Kwa maisha ya mtanzania.ni ghali sana sana .bei ingeendan na zakawaida angeuza vyema lakini anyway.maybe amelenga watu fulani ni mawazo tu

  • Anonymous

   October 9, 2013 at 1:23 pm

   Jamani bei 5000 tunaweza kununua, kwa mwezi mdada unashindwa kujinunulia? ni kitendo cha kuweka 200 kila siku mwisho wa mwezi upate kitu kizuri, kwani simu inakula kiasi gani kwa mwezi? Urembo unatugharimu kiasi gani? Kwa wale wanaotumia dawa kila wanapoingia mense zinawagharimu kiasi gani? RACHEL

  • Anonymous

   January 16, 2014 at 12:46 pm

   mh sh 5000 sio nyingi kwa ajili ya kuijali afya yako

 2. Anonymous

  October 1, 2013 at 3:53 am

  kiukweli ni ghali hata ukitaka kuuza inakuwa shida, mi nilitaka ninunue kwa jumla niuze chuoni, lakini siwez kutokana na hiyo bei sitapata wateja

 3. Anonymous

  October 9, 2013 at 1:42 pm

  Mimi nilinunua 5000, zimemsaidia sana binti yangu, maana kila alipokua akiingia Period kazini nilikua siendi na ni lazima niweke 60,000 kwa ajili ya sindano zake, kwa kweli mi naona ni muujiza maana binti ameingia period bila kuchomwa sindano safari hii wala kupata maumivu ya tumbo, ni muujiza sana kwangu, Big up dada Yasinta, Watanzania tunahitaji vitu vya namna hii- MARY SAWEL

  • Anonymous

   January 16, 2014 at 12:49 pm

   kuna watu huwa wanaumwa mpaka kuzimia kulazwa kwasababu tu ya kuumwa na tumbo la MP so sh 5000 mi sioni kama ni kubwa kwa mtu anayejali afya yake

Leave a Reply