Uncategorized

JAMES EARL JONES,MWANAUME MWENYE SAUTI YA BIASHARA..SAUTI YA MAUZO.

By  | 
 Unamkumbuka King of Zamunda baba yake prince Akeem katika movie ya coming to America?huyu ndio namzungumzia sasa jina lake halisi James Earl Jones.
 James Earl Jones yupo kwenye sanaa ya uigizaji kwa miaka takribani 50 sasa akiwa na tuzo kibao.Ukiacha kuigiza sauti yake imekuwa ikitumika sana kwenye movies bila yeye kuonekana au katuni wenyewe wanaita voice actor na voice over zingine.

Kwa miaka mingi James Earl amekuwa sauti ya Shirika la habari la CNN.
Sauti yake husikika kwenye opening ya CNN morning show the day pia kwenye breaks THIS IS CNN…pia THIS IS CNN INTERNATIONAL.Kuna muda walisimama kutumia sauti yake lakini mwaka huu wameirudisha tena ina maana hapo ni hela zinaingia tu.
Alishafanya sauti za katuni maarufu za zamani kama pinocchio,the lion king aliyocheza kama mfalme baba yake Simba na nyingine nyingi.
James Earl sasa ana miaka 82,mwaka 1982 alifunga ndoa na mkewe Cecilia Hart na kubahatika kupata mtoto mmoja tu mpaka leo anaeitwa Flynn Earl Jones.
Watu na vipaji vyao Mungu kawapa na wanavitumia kipaji cha kuigiza kinachompa mafanikio na sauti ya biashara.Maana kuna sauti za kuongelea tu na sauti za mauzo kama ya Mzee hapo.

3 Comments

 1. Anonymous

  September 26, 2013 at 5:41 am

  Maskini unatamanije iwe yako. We hata tangazo moja huna. Ni bahati nayo mpenzi

 2. Anonymous

  September 26, 2013 at 11:07 am

  Asante Dina kutuhabarisha, tupe basi movie zingine nzuri umekuwa kimya mda mrefu

 3. Anonymous

  September 30, 2013 at 8:04 am

  King of Zamunda….!

Leave a Reply