Uncategorized

MBUNIFU WA MAVAZI NA BALOZI WA OXFAM AJA NA MRADI MPYA WA KILIMO.

By  | 
 MBUNIFU WA MITINDO YA MAVAZI NA BALOZI WA OXFAM TANZANIA -KHADIJA MWANAMBOKA AMEZINDUA PROJECT-VVK-GROW CAMPAIGN PROJECT
 HII NI KAMPENI ILIYOBUNIWA NA KUENDESHWA NA BALOZI WA OXFAM KHADIJA MWANAMBOKA NA IKIWA NA LENGO LA KUAINISHA CHANGAMOTO ZA SOKO KWA WAKULIMA WA CHAKULA HASA WANAWAKE.KUANIKA DHULUMA WANAYOFANYIWA WAKULIMA WA CHAKULA WANAWAKE NA KUHAMASISHA WATUMIAJI WA BIDHAA ZA CHAKULA MIJINI.KUTAMBUA THAMANI YA CHAKULA NA KUWA SOKO LENYE TIJA KWA WAKULIMA WA CHAKULA HASA WANAWAKE
 KAMPENI HII INAHUSISHA WASICHANA”GROW GIRLS” AMBAO NI WANAMITINDO -MODELS WATAKUWA WANAPITA KWENYE MIKUSANYIKO MBALI MBALI, MAOFISINI NA KWENYE TAASISI MBALI MBALI KUHAMASISHA NA KUUZA BIDHAA ZA WAKULIMA WADOGO WANAWAKE.
Mwezi wa nne mwaka huu OXFARM ilitambulisha mabalozi wake wapya wa kampeni ya GROW.Nikiwemo mimi Khadija Mwanamboka mwenyekiti wetu,Masoud Kipanya,Shamim Mwasha,mh Halima Mdee,Mh.Shyrose Bhanji na Jacob Steven JB.
Kila balozi atakuja na mradi wake unaohusiana na chakula na kilimo.Khadija Mwanamboka ndio ametambulisha na tunatarajia watu wote mtaitikia wito kwa kuelewa kampeni yake na kushiriki pia.

1 Comment

  1. Anonymous

    September 26, 2013 at 3:21 pm

    Welcome back my dear. Binafsi nilikumiss sana. Whatever it is you were going through, I hope our good Lord has taken/ is taking care of it. Christine

Leave a Reply