Uncategorized

PEEPLES…HII NDIO MOVIE AMBAYO WIMBO WA SAIDA KALORI CHAMBUA KAMA KARANGA UMETUMIKA.

By  | 
 Wengi tulioangalia movie hii ya Marekani tumejiuliza wimbo wa Saida Kalori umewafikiaje.Maana ukiangalia movie hii mwanzoni mwanzoni kabisa wimbo chambua kama karanga unasikika na anaonekana mama akiucheza kama sehemu ya mazoezi.
 Katika movie leo ya leo tena Zamaradi Mketema aliongea na Saida Kalori lakini hakua akijua chochote.Pia aliyewahi kuwa manager na producer wa Saida hakuwa akijua chochote zaidi ya kupigiwa simu kutoka Marekani na wanawe walioona hiyo movie.
 Sitaki kuisimulia ni movie nzuri ya kuchekesha…Inamzungumzia kijana anayeenda ukweni kwa mpenzi wake na anakutana na changamoto nyingi kutoka kwa baba wa msichana na familia yake kwa ujumla.
Picha zinazopatikana katika movie hiyo.
Wale wa movies sijawasahau kama bado kuiona hii kaitafute ufurahi huku ukila popcorn,karanga,korosho na jiuice.

19 Comments

 1. Anonymous

  September 27, 2013 at 3:49 am

  mi mpka nikajua labda nimechakachuliwa kupewa movie hy kumbe kote jmn!

 2. Anonymous

  September 27, 2013 at 5:04 am

  Ngoja niiilambe tuone huo mchambuo kama karanga!

 3. Anonymous

  September 27, 2013 at 8:05 am

  Dina hizi movies ntazipata wapi ile ya queen latipha uliyotoa kwenye previous post na hii…. pplz plz plz nijibu natafuta lakini sijazipata….. um glad ur back….kwa ari mpya

  • Anonymous

   October 11, 2013 at 6:31 am

   Kama una laptop or any kind of a computer unaweza kuinstall programs za kudowload movies,mfano mi nilikua napata shida sana kupata movie sababu niko mkoani so kupata movies mpya inakua shida but nikaweka program inaitwa BitTorrent ukiwa na access ya internet you can dowload any kind of movie you want.

 4. Anonymous

  September 27, 2013 at 8:17 am

  Dina hii nishaiona kweli ni nzuri sana, lakini mi mwenzenu nikiaangali movie juice haipandi kabisa nakunywaje konyagi, hadi najionea huruma…..Ha ha ha inabidi nimrudie YESU

 5. Anonymous

  September 27, 2013 at 8:59 am

  Asante sana Dina kwa kushare movies unazoangalia zinaonekana nzuri msaada kama unaweza kutuelekeza sehemu sahihi ya kuzipata na kununua hizo movie maana sehemu nyingi hazipo dada asante Deliwe

 6. Anonymous

  September 28, 2013 at 11:34 am

  Hongera kwanza kwa kua unajua kutafuta habari mpeni ushauri saida akadai chake ila kama hana hati miliki imekula kwake

 7. Anonymous

  September 30, 2013 at 5:57 am

  Sasa Kama mmeonaaaa msaidieniiii apate pesa zake kwaniiii wametimia bitsi zakeee, nyiee msaidieniiii aende ubalozi wa marekani akawasue!!!! So mnaongea tuu Msaada hamna , lol

 8. Anonymous

  September 30, 2013 at 3:49 pm

  Kuna muvi nyingine inaitwa A TEAM hao kuna mahali wanaongea kiswahil kabisa hlf pia kuna muv mpya inaitwa PAIN and GAIN kuna bendera ya tanzania….nahisi kama tukijitahidi tutafika mbali

 9. Anonymous

  October 1, 2013 at 7:10 am

  Dina,mimi si mpenzi wa movie kivileee,ila kwa sasa nataka kubadilisha life system na kuanza kuangalia movies especilly za kifamilia,so please nisaidiemajina na mahali baadhi ya maduka maarufu hapa mjini naweza kupata recent movies.

  • dinamariesblog

   October 2, 2013 at 6:40 am

   Mimi ni member wa Library ya movies inaitwa Lime Light ipo kwa nyerere mikocheni.Pale napata movies zote mpya zenye quality.Sasa sijui kwa maeneo mengine hata vijana wanaouza zile za mkononi pale rose garden mikocheni japo wakati mwingine unaweza kuuziwa yenye ubora hafifu.

 10. Anonymous

  October 1, 2013 at 11:08 am

  Dina asante kwa kushare part of your life style we realy admire and appreciate you, please jitahidi uwe unajibu comments za wadau yani watakupenda sana haswa zile za maana!!!!, mie mara nyingi huishia kuandika jina la movie ila sizipati unazitoa wapi? Tuambie kwanza unakuwa unawasaidia wajasiri amali walioiona hiyo fursa ya kuuza movie, so pls answer

  • dinamariesblog

   October 2, 2013 at 6:42 am

   Mimi ni member wa Library ya movies inaitwa Lime Light ipo kwa nyerere mikocheni.Pale napata movies zote mpya zenye quality.Sasa sijui kwa maeneo mengine hata vijana wanaouza zile za mkononi pale rose garden mikocheni wanazo nzuri kwa 3000 wakati japo mwingine unaweza kuuziwa yenye ubora hafifu.

 11. Anonymous

  October 1, 2013 at 12:25 pm

  Dina please tujulishe unapata wapi movies genuine

  • dinamariesblog

   October 2, 2013 at 6:41 am

   Mimi ni member wa Library ya movies inaitwa Lime Light ipo kwa nyerere mikocheni.Pale napata movies zote mpya zenye quality.Sasa sijui kwa maeneo mengine hata vijana wanaouza zile za mkononi pale rose garden mikocheni japo wakati mwingine unaweza kuuziwa yenye ubora hafifu.

  • Anonymous

   October 3, 2013 at 8:16 am

   Hata pale posta mpya mkabala na NMB Bank kuna vijana wawili mmoja rasta man huwa wana cds mpya nyingi tu ilimradi ujue jina unapata

 12. Anonymous

  October 2, 2013 at 6:59 am

  Asante unaona Dina umejibu na kujieleza kwa ufanisi mno, thats our Dina we have, unatupa faraja as if Mungu kakuleta kwa ajili yetu kupunguza ma stress yetu. Asante Mungu kuwa na nawe,

 13. Anonymous

  October 11, 2013 at 12:39 pm

  Movie nzuri, mimi nilinunua Shoppers kwenye vile viduka opp supermarket

 14. Anonymous

  October 12, 2013 at 7:28 am

  Ndio nimeona na nimeusikia huu wimbo. Nikajiuliza kama Saida Karoli amelipwa chochote kwa matumizi ya wimbo wake original, tena unasikika kwa nguvu na huyo mama anaucheza kwa starehe zake kama vile relaxation time yake.
  Kuhusu kupata movies zenye copy nzuri, jaribu kupata vijana wanaodownload utapata soft copy nzuri just make sure una flash. Kuna baadhi ya internet cafe' ambazo wanauza na movies in soft copies.

Leave a Reply