Uncategorized

UJUMBE KUTOKA KWA TAYLER PERRY.

By  | 
”Usitumie  muda mwingi kutafakai wanachokuwazia  maadui zako.Kumbuka ili ubarikiwe hao wabaya wako watakuwepo.Ndio maana katika biblia anasema atakuandalia meza mbele yao”Tyler Perry

16 Comments

 1. Anonymous

  September 9, 2013 at 11:31 am

  ha ha ha wakati upo mafichoni kwako uko ukashindwa kuupdate umepigwa vijembe vimekuingia ndo unarudi na ujumbe wa tyler perry. kujidefend, kuzungumzia sn changamoto zako ni kuwapa hao heters ujiko. NI KM KUVAA TSHIRT IMEEANDIKWA I LOVE HETERS ha ha ha hakuna kitu km icho yani hapo ni kwamba UNAWAHOFIA. kaa kimya iyo ndo SILAHA ukimchokoa mtu afu harespond huwa INAUMA SN SN so kaa kimya dina HUWEZI KUMFURAISHA KILA TU NA KUPENDWA PIA. sms ya pery ni nzuri ila still unaonekana looser yani hao ………..wamekuumiza. THINK BIG

  • dinamariesblog

   September 24, 2013 at 2:46 pm

   Labda nimepitwa..nimepigwa vijembe kuhusu nini sijaelewa nieleweshe.Kuhusu mimba mbona sijaona kama ni kijembe.Nimeona ni mtu ana hisi na hana uhakika anauliza.Mwingine hajui namna ya kuuliza anakashifu or kukejeli.Sijaumizwa na lolote my dear maana sijatukanwa au kusemwa vibaya.

 2. Anonymous

  September 9, 2013 at 12:24 pm

  Hongera kwa kubeba ujauzito. Mungu akujalie umalize safari yako salama. Ndiyo maana umekuwa mvivu ku update blog kila nikiingia nakuta habari za zamani. Inabore sana ila ndo tufanyeje sasa.

 3. Anonymous

  September 9, 2013 at 12:30 pm

  Dina mumy umekuwa kimya sana, adi unatuboa, jamani wiki nzima unashindwa ata kutupia kitu tuone tutaacha kusoma hii blog yako, maana tunaona kama imekushinda

 4. Anonymous

  September 9, 2013 at 1:02 pm

  Asante kwa ujumbe mzuri na wenye kumpa mtu matumaini na ujasiri.

 5. Anonymous

  September 9, 2013 at 6:59 pm

  Huyu kaka Dina nilimwona mwaka jana anahojiwa CNN kumbe ndiye anyeongoza kwa fweza Hollywood; sikumbuki kama anaongoza actors wote au black; lakini ni most successful rich and disciplined ndio maana akahojiwa ili aseme siri ya mafanikio….

  Hata mahusiano yake ni siri; aligoma kusema ana date na nani; nili fall in love naye kwa kweli jinsi alivyo na anavyoongea…na nilikuwa simjuhi( mi si mpenzi wa movie kivile) lakini nilimpenda bure na kujikuta natafuta movie zake…

 6. Anonymous

  September 10, 2013 at 6:06 am

  Si ufunge blogu jamani…aaargh unaudhi kila tukifungua hamna mpya!

 7. Anonymous

  September 12, 2013 at 11:10 am

  DINNA MIMBA IMEKUCHOSHA HATA BLOG HUNA TIME NAYO TENA……JE UKIZAA NDIO BASI TENA INAFUNGWA.

 8. Anonymous

  September 12, 2013 at 11:11 am

  dinna ulemchakato wa watoto wasio jiweza umeishia wapi au ndio umeshazishika za misaada umeingia mitini>>

  • dinamariesblog

   September 24, 2013 at 2:39 pm

   inaonekana hufatilii mambo.Nilishawasilisha kila kitu na party nikawafanyia.Radio ilisikika,tv ilionekana na kweny blog niliweka.

 9. Anonymous

  September 16, 2013 at 9:00 am

  haya na wewe ncha kali ndo kakuchoma na ncha yake au boss km zamaradi????? tutajua tu mjini hakunaga dogo kuna mtu kakumwaga kiduchu kwa SINTAH kule subiria mvua rasmi

  • dinamariesblog

   September 24, 2013 at 2:36 pm

   khaaaaaaa umenichosha.Kabisa maneno yanakutoka kwa mimba ya mtu?mvua kuhusu nini hasa nimeiba?nimekaba?nimeua?kweli usilolijua litakusumbua.Kalagabaho!

 10. Anonymous

  September 17, 2013 at 6:47 pm

  what a good message to all of us

 11. Mama 2 (Mrs M)

  September 19, 2013 at 12:54 pm

  Dina mambo! nimemis sana Blog yako mdogo wangu! Busy na kuikimbiza shilingi.

  Kazi njema!!!

 12. Anonymous

  September 23, 2013 at 7:07 am

  funga blog kiroho safi tu. Ni ushauri.

 13. Anonymous

  September 25, 2013 at 5:22 pm

  Hongera dna kwa kupata ujauzito mungy akujalie mtoto mwenye viungo vyote na akili timamu bila kujali jinsia

Leave a Reply