Uncategorized

YASINTA NTUYEKO…BINTI MBUNIFU WA PAD ZA KIKE ZINAZOTENGENEZWA NA MKAA WA MUANZI.

By  | 
 
 Pad hizo zinaitwa Glory….

Glory Girl pad ni pad ya afya
iliyotengenezwa kwa Mkaa wa Mianzi, tunatambua wazi Changamoto anazozipata
mwanamke wakati wa hedhi. Mkaa huu wa mianzi una madini zaidi ya 400, yakiwemo
Calcium, Potasium na Magnesium ambayo mwanamke anayapoteza kwa wingi wakati wa
hedhi, upotezaji huu wa haya madini bila jitihada yeyote ya kuyarudisha ndo
chanzo cha matatizo yafuatayo yampatayo mwanamke wa leo:-

 

–         
Kushuka kwa kinga ya kizazi
hivyo kushambuliwa kwa urahisi na bacteria na virusi, tatizo hili huweza
kusababisha fangasi sugu na baadae cancer ya kizazi.
–         
Kupata Maumivu makali katika
viungo vya miguu hasa anapoelekea kukoma hedhi, kutoka kwa mimba au kujifungua
kabla ya siku.
–         
Maumivu makali ya tumbo na
viungo wakati wa hedhi na hata kabla ya hedhi.
–         
Kupata hedhi kwa tarehe
zisizolingana na hata kutopata kabisa, kutopevuka kwa mayai.

Matumizi ya Pad hii ya Glory Girl wenye
mkaa wa mianzi, hupandisha kinga ya kizazi na hivyo kumuepusha mwanamke na
Maambukizi ya Fungus na UTI na Michubuko aipatayo mwanamke wakati wa tendo la
ndoa.

Pia Pad hii inafaida ya kipekee ya kufyonza
sumu kwenye kizazi cha mwanamke, kama wanawake tunapata sumu kwa njia mbali
mbali. Unakuta mwanamke amechubuka anapitisha toilet paper, maji ya chumvi,
sabuni kali, zote hizi zinasababisha sumu, pia matumizi ya antibiotics
yaliyokithiri unakuta mtu anameza dawa kutibu tumbo, fungus, UTI nk. Matatizo
yakina mama hayajionyeshi kwa haraka, japo mara nyingine unaweza kupata
viashiria vya kutoa harufu sehemu za siri bila sababu, kupata ute ulio kama
maziwa ya mgando, na hata kupata heavy bleeding. Tunawashauri wakina mama na mabinti kutumia
Pad hii ya Glory Girl kwani ni mkombozi wetu.

Yasinta Ntuyeko kwa wanaoonekana pichani vizuri wa tatu kutoka kushoto ndio mbunifu wa pad hizi.Pichani akijadiliana na vijana wa vyuo kuhusu
changamoto mbalimbali na nini tufanye- ilikua ni katika wiki ya kimataifa ya
ubunifu, iliyofanyika, Tume ya taifa ya Sayansi na mawasiliano (COSTECH) jijini
Dar
 
Yasinta alipewa offer ya ku export Glory Girl pads kwenda Finland and Russia.Pichani ni MR AAPE POHJAVIRTA ( Vice Chancellor COSTECH).Ilikuwa siku ya maadhimisho ya wiki ya kimataifa ya ubunifu yaliyofanyikia Tume ya Sayansi na mawasiliano jijini Dar. May 2013.

Picha ya pamoja na Mheshimiwa Waziri wa
Sayansi na Mawasiliano-Proffesor Makame Mbawala, Mr Aape Pohjavirta(Vice
Chancellor COSTECH), Dr. Hassan Mshinda (Director General COSTECH). Ilikua ni
siku ya Maadhisho ya wiki ya kimataifa ya ubunifu yaliyofanyikia Tume ya
Sayansi na mawasiliano jijini Dar, May 2013

 Yasinta Ntuyeko akitoa mafunzo kwa wanawake wa Kiwalani kuhusu pad hizi za Glory zilizotengenezwa kwa mkaa wa muanzi.
Pad za glory zinapatikana Uchumi supermarket, TSN supermarkets,
Engine Supermarket, Imalaseko supermarket, Puma supermarket-Mwenge, A to Zs
supermarket, Aljazira Supermarket, Minangu Min supermarket,  New Ubungo pharmacy, Nakiete Pharmacy, 24/7
pharmacy-Mwenge, Lifeline pharmacy-Muhimbili, Curare Pharmacy- Muhimbili,
Afrinet Pharmacy, Masonga pharmacy, Victoria Pharmacy, Kibo Pharmacy-Moshi

Maduka ya dawa ya jumla zinapatikana:

Philips Distributors, Mishangu pharmacy,
Boston Pharmacx, Bahari Pharmacy, Core Pharmacy, Ali pharmaceuticals

Pad hizi zimethibitishwa na mamlaka zote zinazohusika kwa matumizi ya binaadamu baada ya kufanyiwa reserch na kuthibitika zinafaa na ni msaada mkubwa kwa wanawake wakati wa hedhi.
 
Kwa lolote wasiliana na Yasinta  kwa namba 0714943635.

31 Comments

 1. Anonymous

  September 24, 2013 at 6:25 pm

  Kwa ninavyo fahamu Mimi mkaa husaidia kuvuta sumu au uchafu NA si vinginevyo, hizo zitakuwa ni njema sana

 2. Anonymous

  September 24, 2013 at 8:36 pm

  Jamani yasinta.Hongera Sana dd Kwa kuendeleza kipaji unaiwakulisha vema tabora girls Na tabora School Kwa ujumla tutakupa support sister.

 3. Ruky

  September 24, 2013 at 9:17 pm

  That good aidia jm kina dada hivi ndivyo inatakiwa tuchangamke

 4. Anonymous

  September 25, 2013 at 7:59 am

  Hi Dina
  Asante kwa habari nzur coz wengine tukitumia pads tunawashwa balaa ila angejarib pia kusupply na maduka ya kawaida je kwa sie tunaoishi kimara mwisho tutazipata pharmacy gani na bei yake je ni kiasi tunaomba kujua wang na kulikon ukapotea Dina,nilikumiss maana kila nikiangaliahakuna mpya nilikuwa naboreka usipotee hivyo jaman

 5. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:09 am

  asee ni how much angetwambia basi tujue

 6. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:11 am

  Kiukwel mungu ambariki sana, atatusaidia kutuepusha na maradhi.

 7. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:11 am

  nimependa kazi yake. ntaanza kutumi from now on. all da best to her

 8. Anonymous

  September 25, 2013 at 9:25 am

  Mdada kanivutia jamani i wish could be her.Mungu amuongezee upeo aendelee kutumia fursa vizuri.keep it up dada

 9. GLORY

  September 25, 2013 at 9:26 am

  Mimi namuona Yasinta kwa jicho jingine kabisa sijui naeleweka naposema hv,
  Dina mpe pongezi za kutosha Yasinta wish angekuwa rafiki yng NIMEMPENDA BURE
  acjali tutamsapot mpk ashangae cku hz ni women supporting women na nitamtembelea
  dukani kwake afu kaziita jina langu, so delighted.
  Yasinta uko juuuuuu!

 10. Anonymous

  September 25, 2013 at 10:23 am

  honger hyasintha kwa kutumia fursa big up

 11. Anonymous

  September 25, 2013 at 11:43 am

  point of correction siyo mbawala ni MAKAME MBARAWA.Tuwe makini na majina ya watu jamani, yani hata waziri wa sayansi na elimu ya juu humjui jina. ( You are a national figure nowdays kwa hivyo unatakiwa ujue vitu vingi concern your national you have to read sana magazeti kuangalia news ili kujua vitu vingi.

 12. Anonymous

  September 25, 2013 at 12:18 pm

  Dina kujibu comment zozote za kuchafua hali ya hewa yani zao waosha vinywa ni kosa kubwa sn tena sn wat do u loose ukikaa kimya????? unadhani utazuia watu kukusema au kukuwazia mabaya ucpoteze energy in short USIWEKE COMMENT ZAO. unamuona ZAMA baada ya kumjibu yule ……. kilichotokea?? jifunze achana na izo mambo yani potezea mbaya

 13. Anonymous

  September 25, 2013 at 12:30 pm

  Dada dinah nimefatilia sana hii ila mmesahau kuweka /kutaja bei…ni hayo tu.

 14. Anonymous

  September 25, 2013 at 1:44 pm

  nilivyokuwa nasikiliza radio sikufiria kama ni wewe YASINTA ninayekujua, KEEP UP MY GIRL, from Alice

 15. Ruky

  September 25, 2013 at 2:49 pm

  Leo nimewasikiliza jamani mimi nazihitaji hizi pad ntazipataje ni Uk

 16. Anonymous

  September 25, 2013 at 6:51 pm

  poa sana dada ar zinapatikana wapi

 17. Anonymous

  September 25, 2013 at 6:58 pm

  poa dada

 18. Anonymous

  September 26, 2013 at 5:44 am

  Dina hawezi acha kujibu bs anapenda ligi. Na ubaya anataka kila mtu amkomentie positive tu. Haiwezekani kamwe kwenye maisha kuw a hivyo.
  Na sasa tena na muhogo wa jagombe kaurambia mwiko ndio kawa na gubu la kufa mtu

 19. Anonymous

  September 26, 2013 at 7:43 am

  Yan nimependa sana hyo kitu,maana huwa naumwa had bas had nchome cndano,nliambiwa nkizaa ntapona ila hata sioni changes..hzo pads ni sh ngap?

 20. Anonymous

  September 26, 2013 at 7:53 am

  Kwa dodoma zinapotikana wapi

 21. Anonymous

  September 26, 2013 at 8:02 am

  naomba namba ya yasinta plz nahitaji fanya nae biashara plz hizi ndo frusa zenyewe bana

 22. Anonymous

  September 26, 2013 at 8:59 am

  Dina plse TUPE bei ya hizo pads am interested

 23. Anonymous

  September 26, 2013 at 9:13 am

  Hongera sana Hyasinta………

 24. Anonymous

  September 26, 2013 at 9:17 am

  THATS IS XOXOXOXO nice keep it up Yasinta

 25. Anonymous

  September 26, 2013 at 12:39 pm

  Nmempenda sana

 26. Anonymous

  September 26, 2013 at 5:13 pm

  pamoko sanaaaa tu

 27. Anonymous

  October 2, 2013 at 3:13 pm

  Da dina mwaya wanyamazie wala wasikuchoshe, ukiona mtu anakusema vby basi ujue anatamani kufika ulipo lkn anashindwa, kwahiyo anabaki anabwabwaja tu, wapotezee

 28. Anonymous

  October 9, 2013 at 2:09 pm

  Kwa Kweli ni nzuri sana, zimesaidia matatizo yangu, nitaendelea kuzitumia

 29. Anonymous

  October 14, 2013 at 7:32 am

  Mimi namuona Hyasintha ni scientist, mbali na yeye kua mjasiliamali, nimefuatilia kwa kina vitu vyote alivyovitaja, ni ukweli na hamna mahali amekosea, huo ni utafiti wa kisayansi, nafikiri tunahitaji kujivunia sana kua na yeye hapa Tanzania, Binafsi nitam support ili aweze kutumia kipaji chake kwa asilimia zote kwa manufaa ya jamii, Big up, Mungu akuzidishie na kukujaza. Am so very happy for a young woman like u to do things bigger like this to the extent you draw my attention, and i spent my time to learn too

 30. Anonymous

  October 19, 2013 at 7:45 am

  Dada Dina Wamikoani Plz msitusahau jamani, wapi tunazipata hasa DODOMA PLZ PLZ PLZ

 31. Anonymous

  October 24, 2013 at 9:22 pm

  nimezitumia hizi pad nilinunua pale nakiete na nkakuta stock inaishia ni pad nzuri sana na hata mtu mwenye heavy blood flow kias gani inabeba zimetengenezwa kwa night na wote twajua at night damu inatoka nyingi sana with this pad im comfortable and free all the time na kingine nilichokipendea siwashwi teena nimetumia pad nyingi sana ikifika wakati wa ku breed ilikuwa mawazo ila hizi ata siwashwi na hii ni mara ya pili natumia nilitua last month na saiz kwakweli siwez tumia pad nyingie tena na the other thing uyu bint ni mkarim na achoki nilichukua namba yake ya simu I had so many question alinijibu maskini maswali yangu yote manake tulikuwa watu kama wa 3 tunabishana hatukuwa na information sahihi kila tukimwuliza anatujibu keep it up utafanikiwa

Leave a Reply