Uncategorized

KWA WALE WAPENZI WA TAMTHILIA ZA KINA MARIA CLARA,ANTONIO ADOLFO,HOSE DONOSO N.K DSTV INAMALIZA KIU YAKO KABISAA!

By  | 
 DSTV wana channel inatwa TELEMUNDO channel 118 inakuwezesha kuzitazama tamthilia hizo zooote masaa 24.
Zinaonyeshwa nyingi sana ila niziopendazo mimi ni behind closed doors,my heart beats for Lola,Precious Rose na Aurora.Ila niipendayo zaidi ni behind closed doors ina drama za kufa mtu.
Wewe mdau umeshaangalia ipi kupitia Telemundo ya DSTV PEKEE?

13 Comments

 1. Anonymous

  November 25, 2013 at 11:30 am

  Behind close door ipo pouwa ila iyo aurora inaboaaaa

 2. Anonymous

  November 25, 2013 at 1:02 pm

  Mimi nimesha angalia na ninaendelea kuangalia Aurora, Behind close door, Precious Rose and my heart beat for lora na kunanyingine nimesahau jina lake kwa kweli iyo channel ni nzuri sana yaani all time tamthiliya hadi rahaaaa yaani unaweza ukaunguza msosi

 3. Anonymous

  November 26, 2013 at 8:04 am

  mimi naipenda sana behind closed door na my heart beat for lola na precious rose ni hatari ila behind closed door ndiyo ina drama yakufa mtu kunaule usemi usemao kikulacho ki nguoni mwako kwenye behind close door utaupata ukweli wa usemi huu jamani

 4. Anonymous

  November 26, 2013 at 8:51 am

  Behind Closed Doors

  In the house next door, nothing is what it seems. In it live people who hide many secrets. This is the Conde family, a traditional family comprised of Renato Conde, Eva Spencer, and their children Ignacia, Carola and Emilio.

  Renato is the owner of a powerful business which he has spent his life building. His children have enjoyed a top-notch education in the best schools and his wife is well known as one of the most respected socialites. But this apparent perfection, a symbol of the ideal life, hides a very different reality.

  Like any other family, the Conde’s also have problems, just that in this case the scope is very different. The strict and commanding education imposed by Eva on her children has created strong rivalries among them. Renato, the head of the household, created his empire in an unlawful way by conducting illegal operations to get rid of business partners and possible competitors. In the house, strange deaths have occurred under mysterious circumstances, but the police investigation reports have concluded that these deaths have been due to natural causes.

  Gonzalo Ibañez, Ignacia’s second husband, will be the newcomer who will try to find out what this family hides when he learns the reason why his wife’s ex-husband really died. This lawyer will use all of his power to expose this family, who for years has been a symbol of respect and integrity.

  Cornered to demonstrate their innocence, each member of this family will end up bringing his or her own demons out into the public after hiding them for so many years – making the victims of this story the culprits and the apparently innocent, the murderers.

  Cast: Maritza Rodriguez, Gabriel Porras,Catherine Siachoque, Miguel Varoni

 5. Anonymous

  November 27, 2013 at 11:27 am

  Kweli Di yaani Behind Closed Doors nzuri sana kwa kweli na My Heart Beats for Lola inafuata, kama mpenzi wa Tamthilia na umefunga DSTV basi jisogeze huko uburudike, ninavyo enjoy natamani vituo vya bongo vizitafute ili na wengine wafurahie na kutoa stress za dunia hii. Hahaaa

 6. Anonymous

  November 27, 2013 at 11:28 am

  Dina hata The Delmonte Dystany bomba mbaya, fuatilia utaniambia

  • dinamariesblog

   December 3, 2013 at 10:05 am

   Nimeanzaifatilia maskini kaka wa wenyewe kamuoa mpenzi wake wa kitambo lakini ana hisia zaidi kwa mwingine ambae anaiboa ana kiraru rau sijamshika jina…

 7. Anonymous

  November 28, 2013 at 11:51 am

  Behind Closed Doors ndio mpango mzima……

 8. Anonymous

  November 29, 2013 at 8:05 am

  Mi naipenda hii mpya iliyoanza mwezi huu kama sikosei inaitwa Delmonte something…..(nimesahau hayo maneno ya mbele) nilikuwa naipenda sana Behind closed doors but hii, dah acha kabisa ni drama za kufa mtu, kama kawa huyu Salvado (kwenye second chance) anagombewa na warembo, yani mwapenzi wa hizi soap za kimexico fuatilieni..stress free zone ya kufa mtu.

 9. Anonymous

  December 2, 2013 at 8:40 am

  Naizimia My heart beats for Lola

 10. Anonymous

  December 8, 2013 at 7:51 am

  Hiyo behind closed doors naona imesifiwa sana hapa. Nime check na kukuta ipo episode ya 81 wiki hii. Nitaweza kujua kinachoendelea kweli?

 11. Anonymous

  December 11, 2013 at 12:47 pm

  ooh my heart beats for Lola mi ndio naifuatilia na kuipenda sana. Ikifuatiwa na precious Rose

Leave a Reply