Uncategorized

MASHINE MAALUM YA KUKUNIA NAZI INAPATIKANA HEMBU ANGALIA

By  | 

HABARI NJEMA KWA WAPISHI…MASHINE YA KUKUNIA NAZI INAYOKUNA NAZI NYIINGI KWA MUDA MFUPI  INATUMIA UMEME NI NZURI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI,MAMA NTILIE , MAHOTELINI, NA WATU WENYE CATERING NA PIA WENYE MADUKA YA VYOMBO KWANI ZINAUZWA JUMLA NA REJA REJA
wali nazi ndio Habari ya Mujiniiiiii
BEI::: TSH 150,000/=
 ZINAPATIKANA ::AQUA DECOR LIMITED (AFRICA SANA SINZA OFISI ZA KAMSU TRANS (KONGO/AMANI KARIAKOO) WASILIANA NAO ::0715 19 68 88 AU 0689 86 37 85 AU UKINUNUA KWA  MPESA AU TIGO PESA UNALETEWA MPAKA ULIPO   KWA PEMBENI
ANGALIA VIDEO VILE MASHINE INAVYOFANYA KAZI

MAMBO RAHISI KABISAAAAA

6 Comments

 1. Anonymous

  November 27, 2013 at 1:09 pm

  safi kila kitu kinawezekana

 2. Anonymous

  November 27, 2013 at 1:10 pm

  nimekubali

 3. Anonymous

  November 28, 2013 at 1:55 pm

  na huo umeme wa mgao sijui itakuwaje.

 4. RUKY

  November 28, 2013 at 4:25 pm

  MMH LABDA KWA NAZI YA KUPIKIA KASHATA KWA MUONEKANO NAZI HAITOTOWA TUWI LA KUTOSHA COZ HAITOI SMMOTH KM MBUZI YAKUKUNIA NAZI.

 5. Kinego

  December 7, 2013 at 5:22 pm

  Na hiyo kazi ya kuingiza nazi kwenye mashine si ya kitoto…

 6. Kinego

  December 7, 2013 at 5:23 pm

  Na hiyo kazi ya kuingiza nazi kwenye mashine si ya kitoto…

Leave a Reply