Uncategorized

SISTA…. SISTA

By  | 
 Picha hizi zote ni za mastar wa marekani ambao ni mtu na mdogo wake.Hawa ni Beyonce na mdogo wake Solange
Kwenye maisha yangu sijabahatika kuwa na dada wala mdogo wa kike mimi ndio mtoto wa kike pekee hivyo sijui feeling ya kuwa na dada mkubwa au dada mdogo.
 Nimekuwa nikiona tu vile watu na dada zao wakiishi kwa furaha,kushirikiana,kupendana,kusaidia n.k
Sio mara zote mtu na dada yake hupendana….wengine wanaoneana chuki,choyo,hawapendani wala kushirikiana yaani vurugu.Wengine hufikia hatua hata ya kuchukuliana waume,kuharibiana kwenye riziki story za hivyo nilishazisikia.
Kwenye sista sista nakupa nafasi ya kushare story yako ya uhusiano wako na dada yako.Tuma picha zenu na story yenu kuja kwenye email yangu ya dina_marios@yahoo.com
Na mimi nitashare hapa kwenye blog yetu.

21 Comments

 1. Lilly kamala

  November 6, 2013 at 1:16 pm

  Mm na sista yngu kiukweli tunapendana sana,kwetu tumezaliwa watatu yan wa kike wawili na sista akiwa wa kwanza,thn mimi na last born akiwa wakiume.Nampenda sana kwan ananijali sana,nkiwa shule advance alinitumia hela zaidi ya laki moja,na pia chuo amekuwa msaada wangu ss nmemalza na kazi cjapata lakini bdo ananipa hela na vitu hapa na pale.Jesca sista yng nakupenda sana,Mungu akuweke milele.

 2. esther nyalusi

  November 6, 2013 at 5:16 pm

  Da Dina me Ni kama wewe sina dada mkubwa wala mdogo wangu,

 3. Anonymous

  November 6, 2013 at 7:27 pm

  Mimi kama wewe dada Dina sina dada wala mdogo wa kike nina wadogo wa kiume. Alafu nimeolewa mumewangu hana dada wala mdogo wa kike. Tukipata baby girl ndo katakua kadada ketu, Tunaombaje Mungu atupe sasa

  • dinamariesblog

   November 7, 2013 at 5:30 pm

   Mtajaaliwa mtapata baby girl mwaya…kila la heri my dear!

 4. Ruky

  November 6, 2013 at 9:46 pm

  Jamani pole basi naomba mimi niwe dada yako wa hiyari..mi nina dada 2 najua machungu yao na matamu yao but kikubwa haswa ktk machungu huwa najitaidi kusamehe jp mkubwa wangu hata yeye akikosea vp hakubali hata ck moja kuomba msamaha kikubwa cha ushirikiano wetu na kusamehe ni kutokana na misingi tuliyojengewa na wazazi wetu..kuheshimiana jaswa kwa mdogo kumuheshimu mkubwa hatakama kakukosea..Love u Dina

 5. Anonymous

  November 8, 2013 at 8:23 am

  aah mi nina sista angu, nahis yeye ndo ananipenda sana kuliko mm navyompenda simply bcoz ni choice ya mama, yan mama anampenda sana yeye, so mi namchukulia poa tu ukizingatia swaga zetu hazifanani ye ustadhat sana mi nipo nipo tu, ila nikiwa natatzo namface namwambia na najua tu litafika kwa maza, ila anawatoto wake ndo nawapenda sana na mmoja ananipenda had sista anaumia mana dogo anajua mm ndo mamaake..so nahis mapenz yangu kwake yamehamia kwa huyo first born wake, na yeye ananipenda nahis vile nipo na mwanae na namhudumia kila kitu ka mwanangu!
  hinsy!

 6. Anonymous

  November 8, 2013 at 8:38 am

  Pole sana DM mie mwenzio nashukuru Mungu nina dada 3 na wote ni wadogo me ndo mkubwa tunapendana sana. usijali mshukuru Mungu ndo maana kakupa sie mashabiki wako ndo dada zako. Nakupenda sana Dina naomba niwe dada au mdogo wako wa kike.

 7. mrs Lucas

  November 8, 2013 at 9:37 am

  Mimi nina mdogo wangu mmoja wa kike naomba mungu tupendane mpaka kufa kwetu kwani ndugu yako ndio Rafiki yako wa kweli.. mungu atuongoze tuzikane na tusaidiane kwa shida na raha.. Astridar mdogo wangu nakupenda sana

 8. Anonymous

  November 8, 2013 at 7:32 pm

  Mi ninao wa 3 ila jamani dada zangu wawili yani hawanipendi adi najua na mama yetu analijua hilo. Na sijui kwa nini. Ili nimijifunza kitu. Mwanzo nilikua nasononeka sana ili tangu nimejifunz kutokuyabeba hayo adi naskia raha. Mwanzoni nilikua naumia sana. Kwani huyu mmoja nilikua naishi nae niliteseka sana adi ilifika stage mama mwenyewe akakubali nipangr chumba nikaanza kujitegemea nikiea sina ata kazi. Bt now nawapenda my dadaz
  wote. Pia dina da! Nisipo kuskia kwenye kipindi diku yangu hua haikamiliki vizuri. Love u dana. Judy M.

 9. Anonymous

  November 11, 2013 at 10:28 am

  Mimi nina dada zangu watatu sisi kwetu tumezaliwa wa kike tu na mimi ndo wa mwisho nawapenda sana dada zangu tunapendana sana

 10. Anonymous

  November 11, 2013 at 10:29 am

  Mimi nina dada zangu watatu sisi kwetu tumezaliwa wa kike tu na mimi ndo wa mwisho nawapenda sana dada zangu tunapendana sana

 11. Anonymous

  November 11, 2013 at 12:29 pm

  Pole sana Da Dina yaani mie nina dada yangu mmoja ana choyo ,wivu kila nikifanya kitu cha maendeleoa ni shida kwake kuninunia na etc ila mie huwa namsamehe na siku zinasonga na sio wote wenye dada eti wanapendana ulichosema ni kweli umenigusa sana.

 12. Anonymous

  November 15, 2013 at 2:01 am

  hii mada imenigusa sana mimi mama mtu mzima kwetu tumezaliw changanyiko nina kaka nina dada na mdogo wngu amba eni wakike ni mama tu na yeye ana watoto wakubwa pia mimi lakini huyu mdogo wangu simsemi vibaya na simtakii mabaya lakini ni mtu wa ajabu sana atumeshagombana mara chungu nzima, kwanza anakiburi sana, dharau,majivuno, ni wale watu ambao wao wanataka tu kuwa juu daima,kuomba msamaha kwake yeye nineno la msamiati hata kama amekukosea, so pia kitukinachompa tena kiburi zaidi, nikuwa yeye kidogo kimaisha kidogo hajambo hela ya mboga haimpigi chenga japo wote tunahali nzuri lakini kidogo yeye ametuzidi kimapato,nina meengi ya kuandika huhusu yeye inaweza kujaa huu ukurasa.Lakini ni mdogo wangu nilikuwa nampenda sana nakuwa karibu naye kumbe mwenzangu hana hata habari na mimi yeye anawaabudu marafiki kuliko ndugu haswa wenye nazo,so kuna ndugu wengi jina tu

 13. Albaloving

  November 17, 2013 at 6:32 pm

  Dada Dina..mimi nina dada wakubwa wanne na mdogo mmoja wa kike.In other words tuko sita na wote ni wasichana,it's fun trust me japosome of them wameshaolewa na hatuko karibu sana.I just love my sisters!

 14. Albaloving

  November 17, 2013 at 6:35 pm

  Dada Dina mimi nina five sisters.Tunapendana sana japo wengine wameshaolewa na wanaishi mbali na home.I love my sisters

 15. Albaloving

  November 17, 2013 at 6:35 pm

  Dada Dina..mimi nina dada wakubwa wanne na mdogo mmoja wa kike.In other words tuko sita na wote ni wasichana,it's fun trust me japosome of them wameshaolewa na hatuko karibu sana.I just love my sisters!

 16. Anonymous

  November 18, 2013 at 11:41 am

  mie pia dada digna sina dada mie ndo wa kwanza pekee yaani so SAD

 17. Anonymous

  November 21, 2013 at 12:30 pm

  Mm cna dd ila naenjoy sana kuwa na wadogo zangu. Wapo wanne wananipenda wote na mm nawapenda japokuwa wana wivu kila mmoja anasema nampenda mwenzie sana

 18. Anonymous

  November 21, 2013 at 1:46 pm

  Me nna 3 sisters na tunapendana cna. Love u dina

 19. Anonymous

  November 21, 2013 at 1:50 pm

  Me nna 3 sisters name tunapendana cna.love u dina

Leave a Reply