Uncategorized

SWALI KWA WAPENZI WA MOVIES/SERIES…

By  | 
Kwa wale wapenzi wa movies/series shot za picha hizi umeziona wapi?

12 Comments

 1. SEBO

  November 6, 2013 at 11:26 am

  The ROOTS and la mujer de mi vida.YOU simply google the images and the rest is story

 2. Anonymous

  November 6, 2013 at 12:15 pm

  Napenda hiyo ya aficans niambie jina niitafute

 3. Anonymous

  November 6, 2013 at 12:38 pm

  Dah!!!!! umenikumbusha mbali sn dina ila mdau SEBO aaaa umetisha kwa kuongezea tu picha ya kwanza mwenye mabutu ni CICELY TYSOn ambae kwenye roots alikuwa anaitwa Binta na wa nyuma ni MAYA ANGELOU the American poetry woman ambae alikuwa anatumia jina la Nyo Boto kwenye roots. Picha ya chini ni MARIO CIMARO aka Antonio Adolfo Thomson na NATALIA STREIGNARD aka Barbarita Ruiz. Again Dina umenikumbusha mbali sn

 4. Moi Haisule

  November 6, 2013 at 1:13 pm

  Kwa
  upande wa movie kwa sasa mimi sio mtazamaji saaana!mambo yamekua
  mengi,ila ukiniuliza kuhusu leo tena nitapata 100%.mimi napita tuu dada
  dina!

 5. Moi Haisule

  November 6, 2013 at 1:16 pm

  Daaah!kwa movie mi kwa sasa sio mtazamaji sana,hapo umenikamata,ila ukiuliza kuhusu leo tena i hope nita pata 100%.me napita tuu dada dina kuashiria 2ko pa1!

 6. Anonymous

  November 7, 2013 at 8:39 am

  Halafu baada ya kutaja kinafuata nn Dina?

 7. Shaban

  November 7, 2013 at 10:55 am

  woow it reminds me a while ago kwa wahusika wa the roots wataingia kwenye shot ya Kwanza na Barbarita na Alehandro wako kwenye shot ya ktk drama ya la mujer de mi vida (the woman of my life)
  thnk u

 8. Shaban

  November 7, 2013 at 10:56 am

  woow it reminds me a while ago kwa wahusika wa the roots wataingia kwenye shot ya Kwanza na Barbarita na Alehandro wako kwenye shot ya ktk drama ya la mujer de mi vida (the woman of my life)
  thnk u

 9. Anonymous

  November 11, 2013 at 8:45 am

  i know the second series, which is la mujer de mi vida (barbarita & alehandro)

 10. Anonymous

  November 12, 2013 at 5:29 am

  Ooh Roots one of the best movies ever…reminds me of my childhood…Ms. Tyson and the baby is Kunta kinte…. whenever i watch this movie i have mixed feelings abt the bazungus!

 11. Anonymous

  November 22, 2013 at 12:06 pm

  it reminds me of lamujer demivida , actor- anthonio, actress- barbarita

 12. Anonymous

  November 27, 2013 at 1:29 pm

  ya kwanza roots ya pili mmmh sikumbuki

Leave a Reply