Uncategorized

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA KUFANYIKA TAREHE 8 DEC 2013

By  | 
 Baada ya ukimya mrefu wa kparty gala tutakutana tena jumspili ya tarehe 8 December ambapo kesho yake ni mapumziko ya siku ya uhuru.Itafanyika the grand hall piccolo maeneo ya kawe beach.
 Wazungumzaji wa safari hii ni sex therapist and lifestyle design Getrude Mungai toka Nairobi Kenya
 Mwanasaikolojia ya jamii kutoka chuo kikuu cha DSM Chriss Mauki
Na mama Victor
 
Safari hii wazungumzaji ni watatu tu lakini itakuwa ya kipekee.Ticket ziko limited piga simu namba 0684125522 kubook mapema.
Shukrani kwa Amarula kinywaji chetu cha siku.

4 Comments

 1. Anonymous

  November 21, 2013 at 1:56 pm

  Keep it up dina love mummy!

 2. Anonymous

  November 21, 2013 at 4:38 pm

  da dina ulitwambia utatuwekea video za event ile ukutuwekea mpka leo,plz kma utojali tunaomba tuone.

 3. esther nyalusi

  November 22, 2013 at 6:00 am

  Hiii itakuwa kwa Mara ya kwanza nami nitahudhuria pamoja my sister,mungu akupe uzima

 4. Ruky

  November 22, 2013 at 4:31 pm

  JAMANI PLZZ TUWEKEE BC NASIYE TULIYE MBALI TUJIONE NA KUJIFUNZA U TUBE AU TURUSHIE HUMU JAMANI DINA MBONA KILA MARA UNATUCHUNIA THIS TIME MIE NTAKUNUNIA WALAHI…

Leave a Reply