Uncategorized

ASANTE KWA SPONSOR WETU NA WASEMAJI WETU WA KITCHEN PARTY GALA YA TAREHE 8 DEC!

By  | 
 Asante kwa mdhamini wetu mkubwa Amarula Cream kinywaji chetu rasmi cha siku.Watu 50 mwanzo kupata glass moja mlangoni na wale watakaopendeza katika vazi la kiafrika kujipatia chupa nzima ya Amarula.
 Wale wanaokuletea nguo za ndani za kike za ukweli Cassandra Lingerie pia tutakuwa nao.Kwa chupi,sidiria,nguo za kulalia na cosset za kubana tumbo zote unazipata katika maduka yao yaliyopo hapa Dar es salaam mikocheni kwa nyerere,sinza na mjini jingo la golden jubilee gorofa ya tatu
 Pedi za Human Cherish nao wapo nasi safari hii
 Asante clouds fm kwa matangazo
Wasemaji wetu wa siku ni Getrude Mungai sex therapist and lifestyle design kutoka Nairobi.
Mwanasaikolojia Chriss Mauki
Mama Victor  huwa ni raha kumsikiliza sababu ya ucheshi na vituko vyake.
MC wa siku hiyo ni bibie Zipompa Pomba Mc mwenye mbwembwe na maneno kibao.
 
Wahi ticket yako zimesalia siku 5 kwa Tsh 40,000/=
Ticket zinapatikana Shear Illusion mliman city,maduka ya Cassandra yote.Cassandra mikocheni kwa nyerere,Cassandra Sinza na Cassandra mjini jingo la golden jubilee gorofa ya tatu.
Usisahau ni jumapili ya tarehe 8 kesho kutwa pale Grand hall piccolo hotel Kawe.Kuanzia saa nane mchan mpaka saa nne usiku kumbuka kesho yake ni mapumziko siku ya uhuru.
Kwa lolote piga namba hii 0684125522
 
THEME:KITCHEN PARTY GALA KWA MWANAMKE MWENYE FURAHA!

Leave a Reply