Uncategorized

KAMERA YA DM IKIWA MTAANI

By  | 
Hapa ni maeneo ya Kilole Korogwe Tanga,mtoto huyu alikutwa akicheza mwenyewe na baiskeli yake ya miti hana wasiwasi kabisa.

4 Comments

 1. Ruky

  December 12, 2013 at 6:10 pm

  Maskini yupo zake happy. .

 2. Anonymous

  December 13, 2013 at 2:16 pm

  Tuwekee picha za kitchen party gala basi. Blog imepoa sana jamani.

 3. Anonymous

  December 16, 2013 at 3:39 pm

  Engineer nani huyu.
  Tuwalee watoto kwa kuangalia fani zao.

 4. abdalah nandonde

  December 24, 2013 at 11:00 am

  creative(creativity)is the part and parcel of child

Leave a Reply