Uncategorized

KAZI NI KAZI…KITU CHA SUPU YA MAPUPU.

By  | 
 Mama alikutwa hapa maeneo ya darajani manzese asubuhi akiuza supu ya mapupu kwa wale wenye kuhitaji.
 Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki ng’ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.
Watoto wakijipatia supu kutoka kwa mama muuza supu.

3 Comments

 1. Anonymous

  December 21, 2013 at 12:50 pm

  Tatizo letu watanzania ni usafi. Usafi sio lazima uwe na vyombo vizuri. Lakini ukiangalia hizo ndoo ni nyeusi, mazingira yaliyowekwa biashara yaharidhishi kabisa

 2. Anonymous

  December 23, 2013 at 5:47 am

  supu hii nikiitengeneza mwenyewe home, naenjoy but za huku mitaani nakosaga iman nazo, nishakunywaga nikaharishaje mpaka leo sinywi tena kama nina hamu naenda zangu machinjioni nanunua natengeneza mwenyewe najilia na chapati

 3. Anonymous

  January 26, 2014 at 7:13 pm

  we uloharisha pole ila kumbuka chakula kilichochemswa muda mrefu hakikupi kuharisha. itakuwa ulipata bakteria tu .vyakula vya mama ntilie asilia kubwamazingira BOVU , ILA .NAPENDA KWAKUWA WANASIMAMA KWA MIGUU YAO NA KUTAFUTA NA KUWEZA MAISHA KULIKO WIZI AU WANAOTEGEMEA MABUZI

Leave a Reply