Uncategorized

KUBALI KIPAJI CHA MTOTO WAKO, TUKUTANE LEDGER PLAZA BAHARI BEACH.

By  | 

4 Comments

 1. Anonymous

  December 25, 2013 at 4:03 pm

  Asante sana ,
  Natamani nikubali kipaji cha mwanngu ila naogopa kwani vipaji vingi hapa kwetu vinawapeleka watu pabaya ,mfano waigizaji SIO WOTE kila kukicha skendo. Waimbaji MAADILI NA kucheza kwao kunaipoteza heshima Mwanangu anapenda kuimba na akisikiliza wimbo anauimba kama ulivyo na anapenda maigizo,.
  Sielewi ntafanyaje .
  KUNA USEMI UNASEMA KILA MZAZI ANATAKA MWANAE AWE KTK SEHEMU NZURI :
  MFANO KAMA MAMA YAKO ANGEKUWEPO ANGEJIVUNIA SANA NA WEWE

 2. Anonymous

  January 6, 2014 at 1:29 pm

  Dina nimetokea kuku like mamii…nasikia you are expecting…can't wait to see the baby…I am wishing you best of luck in this year 2014 and many to come!

 3. Aphonce chadali

  January 27, 2014 at 12:13 pm

  Poa chakula ni mhimu sanaaa maisha ya mwNadamu

 4. Mwangwitwa

  January 31, 2014 at 10:13 am

  hongereni sana kwa urafiki mzuri,nawatakia kila heri ktk maisha mapya,Mungu awajalie mpate mtoto mwenye afya tele mumlee vizuri

Leave a Reply