Uncategorized

KUNYWA POMBE KUPITA KIASI SI TU HATARI KWA AFYA YAKO BALI HATA UTU WAKO!

By  | 
Ni aibu sana mtu kunywa pombe mpaka kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka kutembea unashindwa mwisho unabebwa kwa style hii kurudishwa kwako.
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni awachelewi kukufanyia vitu vya aibu…..mbayaaa(kwa sauti ya mchungaji Lwakatare)
 

1 Comment

  1. Anonymous

    December 23, 2013 at 5:44 am

    kujidhalilisha, hivi watoto wako mke wako akikuona hivyo si ataitia aibu familia, hivi kama pombe huiwezi ni lazima unywe

Leave a Reply